Majina tafadhali wekaNamuuliza tu Jaji Mkuu, kulikoni mpaka Leo ana majaji wamestaafu wanapewa mkataba waendelee kuhudumu? Hawa so ndio watakuwa na utii kwa mtu anayewaongezea mkataba?
Waende kupumzika SSH ateue watu, wako wengi, na mama anajua kuchagua
Huo umbeya sasaWalipewa enzi ya Awamu ya tano ....na yeye anawajua
Naomba niwashukuru sana watumishi wa Kanda ya Bukoba chini ya uongozi Mhe. Jaji Dkt. Ntemi Kilekamajenga, Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba kwa kunikaribisha mimi, pamoja na Waheshimiwa Majaji wa Rufani-Jacobs Mwambegele, Rehema Kerefu na Penterine Kente. Tumeweza kukamilisha kikao cha Mahakama ya Rufani kwa ufanisi mkubwa.
Nawashukuru pia Waheshimiwa Majaji wa Mahakama Kuu-Angaza Mwipopo, Emmanuel Loitare Ngigwana na Ayub Yusuf Mwenda.
Kuna yule alimfunga muhujumu uchumi kahama akapewa ujaji, baada ya kuwa Jaji akawa anaandika hukumu za hovyo kabisa, JPM alimuongelea katika hotuba akamsifia, akampa ujaji, kumbe fekelo, akarudishwa masjala kuu asimamie makaraniBila uangalifu tutapata majaji wa michongo kama wale wa Magufuli, mwingine aliteuliwa si kwa weledi bali kwa kuandika hukumu kwa Kiswahili
Katiba mpya itasimamia VIZURI mikataba ya ajira kuliko ilivyo Sasa ambapo utashi wa mtu PEKEE unatumika Namna ya kuajiri watu na kusitisha au kuongeza mikataba ya ajira!
"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"
haaWalipewa enzi ya Awamu ya tano ....na yeye anawajua