TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 13,745
- 21,196
Amani kwako.
Tayari tumeanza kuliona jua la alfajiri kama bado umelala sikiliza sauti za ndege bila kuamka utafaham kuwa jua linachomoza
Twende kwenye mada; ndugu zangu Watanzania hasa wa kanda ya ziwa mmesikia sauti zinaanza kusikika na si kwa bahati mbaya ni ishara kuelekea 2025.
Kanda ya ziwa inaaminika kuwa ndiyo zone inayoweza kumbeba mgombea kupitia kura hasa za urais.
Mara nyingi wagombea wengi wanawachukulia poa watu wa kanda hiyo na wengine kipindi kile kikikalibia wanaanza kuja kukaa nanyi (kuwabemenda) kwa njia hiyo, msichukulie poa mbadirike.
Mahitaji mengi kwa Kanda ya ziwa hayajafikiwa zaidi ya wagombea kuja kuwapa ahadi zisizofanyiwa kazi au kupeperushwa.
Narudia, kanda ya ziwa jua linachomoza mshtuke msibemendwe mkachelewa kutembea.
PIA SOMA: 👉🏾 Nilichogundua watu wa ukanda ziwa Victoria ni wapole sana, hawana makuu na hawajui majungu