Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu, Baada ya mwili wa Temba kuopolewa huko Tabata uliibuka mwili mwingine maeno ya Daraja la Salender, ukionekana kuwa ni wa mwanaume, polisi walifika na kuchukua mwili na kuondoka nao. Mpaka...
4 Reactions
16 Replies
287 Views
Rais Samia akamilisha ujenzi wa Uwanja wa Ndege Tabora Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan imefanikisha kukamilika kwa ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa...
1 Reactions
0 Replies
136 Views
Nimeona video clip ya mbunge mmoja akichangia kwa Kiswahili na kiingereza. Baadaye akanogewa, nahisi kwa panic fulani, akaanza kuzungumza kwa kiarabu na kifaransa. Nijuavyo lugha za Bunge ni...
5 Reactions
39 Replies
694 Views
Mbunge wa Gairo, Ahmed Shabiby amesema kuna mtandao unaokwamisha juhudi za kuanzisha viwanda vya dawa nchini, akidai kuwa baadhi ya viongozi wanahujumu sekta hiyo kwa masilahi binafsi huku...
0 Reactions
0 Replies
114 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Naibu Waziri Mkuu wa Tatu wa Uganda Mhe. Rukia Isaya Nakadama mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege...
2 Reactions
19 Replies
346 Views
Ndugu zangu Watanzania , Kiukweli Rais Samia amejaliwa Moyo wa Huruma na upendo sijapata kuona. Ni Mama Mwenye Kuguswa na shida za watu. Ni Mama na Rais Mwenye Upendo wa Agape . Maisha ya Rais...
3 Reactions
22 Replies
837 Views
Akichangia hoja Bungeni leo Mei 12, 2026, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma, Jesca Mbogo, ameiomba serikali kuwapa kipaumbele vijana ambao wamekuwa wakijitolea kwa muda mrefu kwenye sekta ya...
0 Reactions
0 Replies
92 Views
Hivi karibuni mwanzoni mwa mwezi ujao nitazindua kampuni yangu Mpya ya Uchwara Media Group...tutaanza na Online Digital Tv na Radio. Uchwara Media Group itakuwa ni platform kwa watangazaji wote...
3 Reactions
14 Replies
313 Views
Bima ya Afya kwa Wote kugharimu shilingi 150,000 kwa kaya (watu sita). Wasio na uwezo (wazee, watoto, wajawazito na wenye ulemavu) watagharamiwa na serikali.
2 Reactions
5 Replies
147 Views
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, amesema hayo Mei 11, 2026, wakati akiwasilisha uchambuzi wa chama hicho kufuatia ripoti ya Tume ya Uchunguzi ya Matukio ya...
1 Reactions
11 Replies
282 Views
Kukamilika kwa maboresho ya Uwanja wa Ndege wa Musoma kunatajwa kuwa hatua muhimu itakayochochea ukuaji wa sekta ya utalii, biashara na uchumi kwa ujumla katika ukanda wa Ziwa Victoria na mikoa...
0 Reactions
1 Replies
149 Views
  • Closed
Ufuatiliaji wa JamiiCheck JamiiCheck imefuatilia na kujiridhisha kuwa picha hii si halisi bali imehaririwa kwa Akili Unde. Zaidi soma: POTOSHI Je, picha hii ya mfungwa aliyevaa hereni kutoka...
8 Reactions
28 Replies
799 Views
Wanabodi, Leo siku ya Machi 17 ndio siku Taifa tulipotangaziwa kifo cha Shujaa wetu JPM, hivyo katika kumkumbuka, na kumuenzi, mnaonaje tukijikumbusha baadhi ya mabandiko ambayo tulimshauri JPM...
20 Reactions
50 Replies
5K Views
Rais Samia mwema sana , alimtembelea Nairobi, alikutana naye Ubelgiji wakati wasaidizi wa ikulu walimwambia ampotezeee akagoma, mwishoni Lisu akamtenda ubaya kwa kumtukana balaa 2. Rais samia...
2 Reactions
34 Replies
476 Views
Hii inashangaza sana , huyu mwekezaji anasema Serikali ndio ilimwelekeza kuingiza gari 40 tu kati ya 150 za mwendokasi zilizoingia Tanzania. Baada ya Kamati kuibua madudu maneno yaliyoko mjini ni...
1 Reactions
2 Replies
102 Views
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Seif Shekalaghe ametembelea kwenye banda la Taasisi ya Saratani Ocean Road lililopo kwenye Ukumbi wa Bunge jijini Dodoma na kueleza kuwa anahitaji maelezo mengi...
1 Reactions
0 Replies
132 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na viongozi mbalimbali kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Jijini Dar es Salaam kabla ya...
0 Reactions
5 Replies
175 Views
Chaguo la kwanza, Samia akiri kilichofanyika Oktoba 29 kilikuwa sio sahihi, aombe radhi, akubali hukumu yeyote kutoka kwa wananchi, aidha kusamehewa au kuwajibishwa, 'kila aombaye husamehewa'...
0 Reactions
5 Replies
171 Views
●Uwekezaji wake uboreshaji huduma hadharani kwa takwimu. ●Magonjwa yasiyoambukiza yawa mzigo, watu mil 6.9 waugua. ●Wagonjwa mil 37 watibiwa, UTI, malaria yaongoza usumbufu. 𝗬𝗔𝗪𝗔 𝗞𝗜𝗘𝗟𝗘𝗟𝗘𝗭𝗢...
0 Reactions
0 Replies
61 Views
Habari picha Pia soma: CCM waleta vurugu kwenye Kongamano la taasisi ya Mwl/Nyerere, Makonda ahusishwa kumpiga Warioba
2 Reactions
6 Replies
221 Views
Back
Top Bottom