Rais Samia Aelekea Uganda Kwa Uapisho wa Museveni

Rais Samia Aelekea Uganda Kwa Uapisho wa Museveni

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
580
Reaction score
546
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na viongozi mbalimbali kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Jijini Dar es Salaam kabla ya kuondoka nchini, kuelekea Uganda kuhudhuria Sherehe za Uapisho wa Rais wa nchi hiyo Mhe. Yoweri Kaguta Museveni tarehe 12 Mei, 2026.
20260512_091958.jpg
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na viongozi mbalimbali kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Jijini Dar es Salaam kabla ya kuondoka nchini, kuelekea Uganda kuhudhuria Sherehe za Uapisho wa Rais wa nchi hiyo Mhe. Yoweri Kaguta Museveni tarehe 12 Mei, 2026.View attachment 3587374
Duh!!!! Rais wa kwanza ambae ruti zake ni Uganda tu! Europe haendi wala America! ......
 
Back
Top Bottom