Wema wa rais Samia usiooonekana

Wema wa rais Samia usiooonekana

ndoto2020

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2017
Posts
1,517
Reaction score
1,361
Rais Samia mwema sana , alimtembelea Nairobi, alikutana naye Ubelgiji wakati wasaidizi wa ikulu walimwambia ampotezeee akagoma, mwishoni Lisu akamtenda ubaya kwa kumtukana balaa

2. Rais samia aliamua kuwaruhusu warudi na aliwaliapa malipo yote ya Lisu na wapapmbe wote wa chadema laini cha ajabu shukran yao ni matusi

3. Aliwalipa hela ya ruzuku hadi wakapata jengo la ofisi lakini wameishia kumtukana

4. Rais samia akawaruhusu wafanye maaandamano bado wakaamua kumtukana

5 Rais samia akaomba 4 R akahudhuria sherehe ya bawacha bado wamemtukana

6 Rais samia kawaomba tufany siasa za staha wakaanza matusi, yule mvuta bangi Mdude Nyagali kiboko ya nyigu , na wadada huko mitandaoni wakazidisha matusi kawavumilia

7 . Rais samia alikutana na dada shetani Mange kimambi, Mange akaomba kibahasha akapewa lakini akaishia kutukana

8. Rais samia aliwaachia mafisadi hela zao ili wafanye biashara lakini waijenge nchi yao wamegeuka kufadhili wapinzani wake kisa wivu tu

USHAURI

Binadamu afugiki na afadhiliki, Uraisi ili kazi iende lazima uwe mkono wa chuma kweli kweli

1. Wanaotaka kuleta chokochoko inatakiwa hadi bibi zao waanze kupata siku zao wakikumbuka waliyoyapata wajukuuu wao, wa risasi apate zawadi ya risasi , wa kufungwa afungwe maisha , wa kunyongwa iwe ndani ya miezi 2 toka hukumu , kesi mpaka rufaa iwe miezi 4 tu isizidi, Yaani toka kukamatwa , kesi , rufaaa mpaka kunyongwa ni miezi 6 tu jumla
2. Punguza wafanyakazi wa serikali wabaki wachache wenye ufanisi haswa, wengine wengi wawe na nidhamu , wazembe fukuza

3. wazembe wala rushwa ni kufungwa na kufilisiwa haraka sana yaani mtu aogope hela ya serilkali

4BANA wakwepa kodi hasa hasa makampuni makubwa ya wageni ya madini wanatuchezea sana

4 Kwenye ukandarasi kuna wizzi na uzembe sana mfano barabara ya mwenge tegeta ilitakiw iwe imeisha 2024, Bababara yetu ya bypass uyole mwaka wa nne mkandarasi yupo site sioni chochote ( Huku nipe kazi ya kuwachomesha maana nawajua sana nisilipwe chochote ila hela inayookoka tujenge barabara za vijijini ni aibu maeneo nyeti ya uzalishaji barabara za vumbi, au tujenge refinery

5 Mwigulu anatatua kero nyingi sana, je mwenezi CCM, wakuu wa mikoa na wilaya wapo wapi ? ina maana hawatoshi fukuza wote na wafunge jela ambao wana rundo la kero hawazazishughulikia
 
Fak Samia 🖕.

Huu ndo wema wake?

IMG_9671.jpeg
 
Fak Samia 🖕.

Huu ndo wema wake?

View attachment 3586320
ANACHOKOZWA SANA, 0CT 29 WANGEANDAMANA KWENDA JANGWANI au kugoma kupiga kura tu nani angewagusa ? Unavamia kituo cha polisi? Unachoma ATM? Unachoma TRA office? Unachoma gas station za watu binafsi Kumaa ninaaa, mikundu ya mama zao walionzisha yaani walioanzisha na kubaki sijui kwa nini huyu mama anawaachunia wangeliwa wote, Mpka leo nikiwakumbuka nasisimka naataka niombe kujitolea kuwapasua vichwa dhambi nibebe mimi
 
Mpuuzi wewe!
 
Rais Samia mwema sana , alimtembelea Nairobi, alikutana naye Ubelgiji wakati wasaidizi wa ikulu walimwambia ampotezeee akagoma
Naunga mkono hoja, kwa sisi wenye jicho la tatu, kuna kitu nilikiona kwenye huu wema wa Rais Samia, na nikakiandika humu, Psychoanalysis Trends za Viongozi Wetu, Humbleness ya Rais Samia ni Bonafide Genuine, ni asili yake, ni nature yake, ndivyo alivyo, Ila... tatizo langu mimi, niliwaandikia tuu wale wenye jicho la tatu!, it's very unfortunately Chadema wao jicho hilo hawana, they are just too blind to see, wangekuwa na jicho hilo, saa hizi tunavyo zungumza hapa, Tundu Lissu angekuwa Ikulu!

Sikiliza nilicho mshauri Lissu
Mwandishi wa Habari Pascal Mayalla amshauri Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu kuondokana na siasa za harakati na kufanya siasa za mikakati.

P
 
hata Jk alikuwa mwema akaishiwa kutishwa na wapinzani wake mzee baba ndo aliimudu serikali
Hakuna mtu anataka wema wake, naona unaleta story za kumsafisha muuaji. Ni hivi, Samia yuko madarakani kwa shuruti. Hao waliokuwa nje hakuna hata mmoja alifukuzwa hapa nchini, bali walimkimbia dictator uchwara. Kurudi ilikuwa ni maamuzi yao na sio hisani. Hakuwahi kupakia ndege kwenda Nairobi wala Ubeligiji rasmi kumsalimia, bali alikuwa kwenye safari akapitia.

Hicho chama aliwalipa haki yao ya ruzuku na sio hisani. Kuhudhuria mkutano wa cdm yalikuwa ni makubaliano yake ya Siri na Mbowe ili aachiwe kugombea urais bila ushindani. Hakuna 4r bali ilikuwa hadaa ya kisiasa. Kulikuwa na 4r gani wakati uchafu ule ule wa kwenye uchaguzi wa Magufuli yeye karudia hadi kufanya mauaji? Ni hivi, Samia hana wema wowote, ni muuaji tu, hata mfanyeje hasafishiki.
 
Naunga mkono hoja, kwa sisi wenye jicho la tatu, kuna kitu nilikiona kwenye huu wema wa Rais Samia, na nikakiandika humu, Psychoanalysis Trends za Viongozi Wetu, Humbleness ya Rais Samia ni Bonafide Genuine, ni asili yake, ni nature yake, ndivyo alivyo, Ila... tatizo langu mimi, niliwaandikia tuu wale wenye jicho la tatu!, it's very unfortunately Chadema wao jicho hilo hawana, they are just too blind to see, wangekuwa na jicho hilo, saa hizi tunavyo zungumza hapa, Tundu Lissu angekuwa Ikulu!

Sikiliza nilicho mshauri Lissu

P

P
Huu ndo wema wa Samia?

IMG_8715.jpeg

Kummko *** wewe 🖕
 
Matendo ya Huruma yahalalishi yeye Kuvunja Katiba ya nchi!
Vinginevyo hiyo inakuwa rushwa kuzuia watu wasipiganie haki zao eti kwa sababu walifanyiwa matendo ya huruma!
 
Rais Samia mwema sana , alimtembelea Nairobi, alikutana naye Ubelgiji wakati wasaidizi wa ikulu walimwambia ampotezeee akagoma, mwishoni Lisu akamtenda ubaya kwa kumtukana balaa

2. Rais samia aliamua kuwaruhusu warudi na aliwaliapa malipo yote ya Lisu na wapapmbe wote wa chadema laini cha ajabu shukran yao ni matusi

3. Aliwalipa hela ya ruzuku hadi wakapata jengo la ofisi lakini wameishia kumtukana

4. Rais samia akawaruhusu wafanye maaandamano bado wakaamua kumtukana

5 Rais samia akaomba 4 R akahudhuria sherehe ya bawacha bado wamemtukana

6 Rais samia kawaomba tufany siasa za staha wakaanza matusi, yule mvuta bangi Mdude Nyagali kiboko ya nyigu , na wadada huko mitandaoni wakazidisha matusi kawavumilia

7 . Rais samia alikutana na dada shetani Mange kimambi, Mange akaomba kibahasha akapewa lakini akaishia kutukana

8. Rais samia aliwaachia mafisadi hela zao ili wafanye biashara lakini waijenge nchi yao wamegeuka kufadhili wapinzani wake kisa wivu tu

USHAURI

Binadamu afugiki na afadhiliki, Uraisi ili kazi iende lazima uwe mkono wa chuma kweli kweli

1. Wanaotaka kuleta chokochoko inatakiwa hadi bibi zao waanze kupata siku zao wakikumbuka waliyoyapata wajukuuu wao, wa risasi apate zawadi ya risasi , wa kufungwa afungwe maisha , wa kunyongwa iwe ndani ya miezi 2 toka hukumu , kesi mpaka rufaa iwe miezi 4 tu isizidi, Yaani toka kukamatwa , kesi , rufaaa mpaka kunyongwa ni miezi 6 tu jumla
2. Punguza wafanyakazi wa serikali wabaki wachache wenye ufanisi haswa, wengine wengi wawe na nidhamu , wazembe fukuza

3. wazembe wala rushwa ni kufungwa na kufilisiwa haraka sana yaani mtu aogope hela ya serilkali

4BANA wakwepa kodi hasa hasa makampuni makubwa ya wageni ya madini wanatuchezea sana

4 Kwenye ukandarasi kuna wizzi na uzembe sana mfano barabara ya mwenge tegeta ilitakiw iwe imeisha 2024, Bababara yetu ya bypass uyole mwaka wa nne mkandarasi yupo site sioni chochote ( Huku nipe kazi ya kuwachomesha maana nawajua sana nisilipwe chochote ila hela inayookoka tujenge barabara za vijijini ni aibu maeneo nyeti ya uzalishaji barabara za vumbi, au tujenge refinery

5 Mwigulu anatatua kero nyingi sana, je mwenezi CCM, wakuu wa mikoa na wilaya wapo wapi ? ina maana hawatoshi fukuza wote na wafunge jela ambao wana rundo la kero hawazazishughulikia
Gentleman,
kiukweli kabisa,
kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi hana shukrani kabisa, lakini pia mbaya zaidi hana adabu wala utii kwa mamalaka za wanadamu ambazo kibiblia zimetoka kwa Mungu.

Na anachopitia anastahili kwa 100% kwa mujibu wa biblia, hata hivyo anastahili kibano zaidi ili iwe fundisho kwa wasio na adabu kama yeye.
 
Naunga mkono hoja, kwa sisi wenye jicho la tatu, kuna kitu nilikiona kwenye huu wema wa Rais Samia, na nikakiandika humu, Psychoanalysis Trends za Viongozi Wetu, Humbleness ya Rais Samia ni Bonafide Genuine, ni asili yake, ni nature yake, ndivyo alivyo, Ila... tatizo langu mimi, niliwaandikia tuu wale wenye jicho la tatu!, it's very unfortunately Chadema wao jicho hilo hawana, they are just too blind to see, wangekuwa na jicho hilo, saa hizi tunavyo zungumza hapa, Tundu Lissu angekuwa Ikulu!

Sikiliza nilicho mshauri Lissu

P

P
Upo sahihi sana mimi nilikuelewa lakini humu wengi wanapenda kusikia kuwa unalaumu na kuichukia tu serikali , ina mapungufu yake lakini namna ya kukosoa sio kama ile ya terehe 29

Nahamu sana atokeeee mwendazake mwingine 2030
 
Gentleman,
kiukweli kabisa,
kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi hana shukrani kabisa, lakini pia mbaya zaidi hana adabu wala utii kwa mamalaka za wanadamu ambazo kibiblia zimetoka kwa Mungu.

Na anachopitia anastahili kwa 100% kwa mujibu wa biblia, hata hivyo anastahili kibano zaidi ili iwe fundisho kwa wasio na adabu kama yeye.
Ahaaa anhaaaa nina hamu kweli misikie mara wanamhamishia kigoma kimya kimya , mara wamwage mtwara, mara ahaukumiwe kifo atoke kwa rufaaa ili akome kuwa na dharau na maneno ya kejeli , ENZI ZA KUITA WATU DICTATOR UCHWARA ? Alilambwa risasi za kutosha kweli kweli mpaka leo sidhani kama atarudiia matusi ya hadharani vile kwa mamlaka , Hata mama anamtukana sana mpaka anakera
 
na kwa mipango ya kukinukisha aliyokua akiisukwa kwa kupigwa tafu na mabwenyenye yanayomfadhili,
niwahahikishie tu wadau wa Jf kwa kibaraka hachomoki kwenye hukumu ya kifungo cha maisha jela au kunyongwa hadi kufa au vyote kwa pamoja.

na hiyo ndio haki stahili homeboy anayopaswa kuipata kwa mujibu wa sheria za nchi.
 
Chadema kuna s3hem walijichanganya, hiyo moment kama hawaion bas ujue tatizo haliwez kupata suluhu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom