Rais Samia Awasili Uganda kwa Uapisho wa Museveni

Rais Samia Awasili Uganda kwa Uapisho wa Museveni

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
613
Reaction score
554
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Naibu Waziri Mkuu wa Tatu wa Uganda Mhe. Rukia Isaya Nakadama mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Entebbe nchini humo tarehe 12 Mei, 2026. Rais Dkt. Samia amewasili nchini Uganda kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe za Uapisho wa Rais Mteule nchi hiyo, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni, zitakazofanyika katika Viwanja vya Kololo Jijini Kampala nchini humo.
20260512_111918.jpg
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Naibu Waziri Mkuu wa Tatu wa Uganda Mhe. Rukia Isaya Nakadama mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Entebbe nchini humo tarehe 12 Mei, 2026. Rais Dkt. Samia amewasili nchini Uganda kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe za Uapisho wa Rais Mteule nchi hiyo, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni, zitakazofanyika katika Viwanja vya Kololo Jijini Kampala nchini humo.View attachment 3587439
Kila la kheri Dr Samia Suluhu Hassan 🔥
 
haina haja ya kukasirikia hadhi ya udaktari alio naona Dr Samia Suluhu Hassan,

Ni muhimu akapewa heshima anayostahili bila chuki binafsi gentleman 🐒
Doctor?
Labda u dokta wa makopo na kuua watu.

Kama Samia ni Doctor tuambie Tittle ya PhD Dissertation yake .

🚮🚮🚮
 
Dkt. Samia amewasili nchini Uganda kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe za Uapisho wa Rais Mteule nchi hiyo, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni, zitakazofanyika katika Viwanja vya Kololo Jijini Kampala nchini humo.
TOKA MAKTABA :

Vyama ganganizi vya ukombozi zinavyojiweka madarakani kwa miaka 40 chini ya Museveni

Sherehe ya kuapishwa kwa Museveni mwaka 1986

View: https://m.youtube.com/watch?v=ygFtVOe7C2o

Video hii inahusu tukio la kihistoria wakati kiongozi wa zamani wa vita ya msituni (Guerilla war) Yoweri Museveni akiwa na jeshi lake la wakati huo la vuguvugu la NRA la wapiganaji kwa kutumia mtutu wa bunduki walifikia mji mkuu wa Kampala na kuteka mamlaka ya taifa hilo la Uganda na kumaliza miaka 5 ya machafuko na mapigano kati ya serikali na wapiganaji wa msituni.

Sherehe ya kuapishwa kama rais ilifuatiwa na hotuba ya Museveni motomoto alipotangaza kuchukua madaraka na kutangaza kuwa haya si mabadiliko ya walinzi tu bali mabadiliko ya msingi kwa mustakhabali wa taifa hilo la Afrika ya Mashariki
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Naibu Waziri Mkuu wa Tatu wa Uganda Mhe. Rukia Isaya Nakadama mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Entebbe nchini humo tarehe 12 Mei, 2026. Rais Dkt. Samia amewasili nchini Uganda kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe za Uapisho wa Rais Mteule nchi hiyo, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni, zitakazofanyika katika Viwanja vya Kololo Jijini Kampala nchini humo.View attachment 3587439
Mama atumie muda wake vizuri huko Kampala.
Amuombe Museveni ili Dangote abadili msimamo wake wa kujenga kiwanda cha kuchuja mafuta Mombasa na arudi Tanga.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Naibu Waziri Mkuu wa Tatu wa Uganda Mhe. Rukia Isaya Nakadama mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Entebbe nchini humo tarehe 12 Mei, 2026. Rais Dkt. Samia amewasili nchini Uganda kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe za Uapisho wa Rais Mteule nchi hiyo, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni, zitakazofanyika katika Viwanja vya Kololo Jijini Kampala nchini humo.View attachment 3587439
Wauaji wanatembeleana.
 
Nini kilimfanya ashindwe kuhudhuria mkutano wa Macaron uliijaa fursa tele za kiuchumi na uwekezaji jana kule Nairobi?
 
Back
Top Bottom