Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Featured
Ripoti mpya ya mwaka 2026 kutoka shirika la kimataifa la Reporters Without Borders (RSF) imetoa takwimu za zinazoonyesha kudorora kwa kiwango cha uhuru wa habari nchini Tanzania, huku nchi hiyo...
5 Reactions
24 Replies
954 Views
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Ngwaru Jumanne Maghembe, ameeleza mafanikio ya serikali katika kutafuta fursa za ajira kwa vijana wa Kitanzania kwenye mataifa...
1 Reactions
1 Replies
108 Views
Kulingana na huyu kada wa CHADEMA, Dayon Monsoh ambaye ni kuwa mwanaharakati mwenzao aitwaye NURUVAZI anatafuna michango inayochangwa na baadhi ya watanzania wenzetu wasiojitambua. Kwa sasa kuna...
1 Reactions
13 Replies
261 Views
  • Redirect
HUYU AMBAYE ETI KWA SASA ANAJIFANYA KUJUA SHERIA ZA UTETEZI,KUMBE NAYE WAKATI WAKE ALIKUWA MNYAMA KABISA, KWELI SHETANI AKIZEEKA ANAGEUKA MALAIKA!..... wakati huo kulikuwa na sheria za kizuizini...
0 Reactions
Replies
Views
Ndugu zangu Watanzania, Itoshe kusema ya kuwa usishindane na alipewa Kibali na Mungu , usishindane na Aliyeinuliwa kwa Mkono wa Mungu , usishindane na aliyebarikiwa na Mungu. Rais Samia ni...
1 Reactions
23 Replies
450 Views
Haya ni maoni na ushauri wangu wa Bure kwa TRA, naomba niwaahauri waweze kuanzisha program Maalum ya Certified Tax Educator (CTE), hii inatokana na Kwamba kwa sasa Watanzania wengi hawana Elimu ya...
1 Reactions
4 Replies
779 Views
TANZANIA KUKATAA “JOINT VENTURE REFINERY” NA KENYA: UAMUZI WA KIMKAKATI AU KUJILINDA KIUCHUMI? Katika siasa za kimataifa, hakuna urafiki wa kudumu — kuna maslahi ya kudumu. Ndiyo maana mataifa...
0 Reactions
18 Replies
499 Views
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aua ndege wawili kwa jiwe moja. ◇Kazi zake katika utalii zaanza kuneemesha sekta zingine ◇Ndege Ulaya kuleta watalii moja kwa moja kuja Tanzania ◇Matunda, mboga...
1 Reactions
0 Replies
79 Views
Tume ya Uchunguzi ilibaini kuwa ghasia zilizotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 zilisababisha hasara kubwa ya kiuchumi. Uharibifu wa mali, biashara na miundombinu ulisababisha...
0 Reactions
0 Replies
110 Views
Akichangia hoja Bungeni leo Mei 12, 2026, Mbunge Jimbo la Kigoma Mjini Clayton Revocatus Chipando, maarufu kama Baba Levo, ameitaka Wizara ya Afya kuanzisha kitengo maalum cha kutoa elimu ya afya...
2 Reactions
9 Replies
309 Views
Heshima sana wanajamvi. Nilimsikia Rais wa Kenya Dr W Rutto akihutubia Bunge juu ya ujenzi wa kiwanda cha kuchakata mafuta Jiji Tanga. Wakati huo huo Rais wa Tanzania akihoji kutokuwa na taarifa...
9 Reactions
20 Replies
496 Views
Jamani hii CHADEMA ya Lissu na Heche ina nguvu jamani. Angalia mikutano inavyofanyiaka kwa umoja na wananchi wanakubali. My take; CCM ya sasa inaonekana kama mkoloni anayewanyonya Watanzania...
12 Reactions
19 Replies
396 Views
Hii itaongeza utulivu zaidi wa kitaifa na kuepusha usumbufu wa kikatiba kwa Rais mpya atakaeshika hatamu baada ya Dr.Samia kumaliza kipindi cha mpito kusimamia utekelezaji wa matumizi ya katiba...
2 Reactions
71 Replies
854 Views
Wote tusali kwa pamoja kadri ya maandishi kwenye picha hapa chini na wimbo wake. Mods niwekee hiyo clop vema
3 Reactions
4 Replies
144 Views
Ni muda mrefu huyu kijana hajaonekana au kusikika, nini kimempata? Au ameshamaliza kazi yake?
0 Reactions
6 Replies
250 Views
Rais wa Kenya Wiliam Ruto amesema hatumlazimishi Mwekezaji Dangote mahala pa kuwekeza bado mpango wetu ni kuwekeza Tanga. BBC news
1 Reactions
9 Replies
213 Views
Kumbe hata Afrika wapo watu wenye mitazamo ya ki-MAGA, kama ile ya Rais Donald Trump 🤣. Huyo mdada ukimsikiliza hoja zake dhidi ya huo uhamiaji haramu, unaweza kudhani naye ni MAGA, lakini kumbe...
6 Reactions
8 Replies
915 Views
Na Nulphin Charles, Katibu Mstaafu CHADEMA Serengeti Uganda ilifanya uchaguzi na leo hii wamefanya sherehe za uapisho na hakuna kampeni yoyote inaendeshwa mitandaoni kuhoji uhalali wa uchaguzi...
0 Reactions
8 Replies
297 Views
Kwa kule ninakotoka watu husimamia misimamo ya UKWELI NA UWAZI. Huyu ndugu yetu Jaji Mwambegele katushushia heshima watu wa Mbeya-Tukuyu. Nakubaliana na Jaji Warioba, Jaji Mwambegele kajivunia...
11 Reactions
30 Replies
500 Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuuarifu umma kuwa kesho Jumatano, tarehe 13 Mei 2026 Chama kitakuwa na mashauri mawili Mahakama kuu ya Tanzania, masijala ya Dar es salaam...
2 Reactions
5 Replies
219 Views
Back
Top Bottom