Hivi karibuni, Rais William Ruto wa Kenya alitoa kauli iliyozua mjadala
mzito baada ya kutangaza kuwa ujenzi wa kiwanda kikubwa cha
kusafisha mafuta ghafi cha Bilionea Aliko Dangote (Dangote Oil...
Ukosefu wa ajira kwa vijana amabo ni GenZ hawa ndo wanafanya ccm wanalala macho wazi pamoja na vitisho vyote lakini vijana wa Ge-z waliweza kutoka nje October 29 bila kuogopa. Kwa mbegu...
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, anaweka wazi juu ya watu walioweka namba yake ya simu mtandaoni na watu wengine kutumia namba hiyo kumrushia matusi.
Ni katika harambee ya kuchangia ujenzi wa ofisi ulioongozwa na John Heche
Kwa Ufupi ni Kwamba Ujenzi ushamalizika, maana ukiacha hizo Taslimu, mabati, sementi na matofali yamechangiwa
Mungu...
Suala la baadhi ya askari wa vikosi vya usalama Zanzibar kusokota rasta na kuvaa mavazi ya kuficha nyuso zao (ninja) limeibua mjadala mpana katika Baraza la Wawakilishi, huku wajumbe wakitoa...
https://youtu.be/h3u0m2Yy1lQ
Godbless Lema huwa nana kawaida ya mdomo mdomo mwingi sana juu ya Kanisa la KKKT, hasa chini ya uongozi wa Askofu Malasusa.
Sasa mjomba wake Askofu Shoo amejitokeza...
By Africa J&L Correspondence, Washington, DC
There are defining moments when a nation stops merely supplying raw materials to the world and begins shaping the industries that power it. Tanzania...
Ndiyo maana tunasema utekaji, mauaji yote yanafanywa na mamlaka za juu. Kama Warioba anaweza kuwa intimidated kwa kutoa ushauri mwema, je wengine wadogo! si ndiyo maana mauaji ni mengi na vifo...
'TIKITAKA' ZA DANGOTE AKIELEKEA KENYA!
Unamtambulisha msichana hadharani kuwa ni Bibi Arusi wako mtarajiwa kumbe hujafika hata kwa wazazi wake kujitambulisha! Sasa kaamua kuolewa na 'Mnyilemi...
Mheshimiwa Rais Mstaafu wa Malawi Askofu Mkuu Lazarius Chakwera (PhD) alikuja huko Tanganyika kufanya nini? Mbona aliondoka kimya kimya? Mjini mipango hapana chezeya Chekibobu wa mjini .zee wa...
Nimemkumbuka huyu bwana; amepotea kabisa ndani ya ardhi ya Tanzania bila kuonekana tena. Wanaodaiwa kuhusika wanaendelea kufurahia rasilimali za nchi, na inaonekana hakuna hatua yoyote...
Sheikh Mussa Kundecha, Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Maimamu na Viongozi wa Kiislam Tanzania
Baraza Kuu la Maimamu na Viongozi wa Kiislam Tanzania wanasema wanaopinga na kukosoa ripoti ya Chande ni...
TAARIFA YA CHAMA CHA WANASHERIA TANGANYIKA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU TATHMINI YA TAARIFA YA TUME YA JAJI CHANDE KUHUSU MATUKIO YA OKTOBA 29 MWAKA 2025, ILIYOTOLEWA TAREHE 23 APRIL 2026 PAMOJA...
Akizungumza na waandishi wa habari leo Mei 11, 2026, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, amewasilsiha Uchambuzi wa wa chama hicho Kufuatia Ripoti ya Tume ya...
Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimetoa tathmini yake kuhusu chanzo cha ghasia zilizotokea nchini hivi karibuni, kikieleza kuwa machafuko hayo si tukio la kushtukiza, bali ni mlipuko wa...
Asante sana Mzee kwa kukataa kujumuika na wanafiki wachumia Tumbo, umejitenga na uongo , ushirikina na Najisi ya Nchi
Mungu atakulipa Mzee wangu, wala hatokuacha
Maandiko Matakatifu yameelekeza...
Sijui kabla ya hapo Polisi walikuwa wanatumia utaratibu gani kukamata wahalifu
Lakini Cha kushangaza Leo hii Mzee Mwema baada ya kulambishwa asali anaona yaliyofanyika Octoba 29 ni sawa, yaani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.