Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Masikini elimu yetu, sina cha kusema, ila picha hii inatembea mitandaoni. Not fair! NB Mamlaka fanyeni uchunguzi , cheti ni cha nani, kama yuko hai, na imekuwaje mpaka kuidhalilisha UDSM kiasi hiki
19 Reactions
39 Replies
824 Views
Hii ni kutokana na baadhhi ya wajumbe wa kamati kuu ya chadema taifa, kuapa kuongoza azimio la kuhakikisha kwamba makamu mwenyekiti wa chadema taifa anabanduliwa kwenye nafasi yake, baada ya...
1 Reactions
29 Replies
407 Views
Kama mnavyofahamu, kumekuwa na mvutano mkubwa wa kisheria kati ya Bw. Eliakim Chacha Maswi na Mbunge Mwita Waitara, ukihusisha fidia ya mabilioni ya shilingi. Leo nimepitia hukumu mpya ya...
5 Reactions
9 Replies
490 Views
Kwenye jukwaa Moja la mitandao ya Kijamii, Godbless Lema mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA, ametoa hoja ya kufikirisha sana kuhusu CHADEMA na wanachama wake. Lema amesema kwa takwimu za CHADEMA...
19 Reactions
130 Replies
2K Views
Nina taarifa za ndani kabisa kwamba wanataka kunikamata. Mimi siogopi kukamatwa, mimi sio mtu wa kutishiwa. I was born once, I live once and I will die once. Kama unataka kumtisha Heche unagonga...
26 Reactions
45 Replies
1K Views
Katika taarifa ya kipindi cha Nipashe leo asubuhi hii, toka radio one, imeripotiwa Serikali itafafadhili vijana 1050 watakaosoma masomo ya science ndani na nje ya Nchi. Taarifa hiyo imeeleza...
2 Reactions
11 Replies
203 Views
Wananchi wakataa mapambio ya MwanaFa kwenye miaka 30 ya Bongo Fleva Katika hali isiyo ya kawaida, Naibu waziri wa Michezo, Sanaa...., Mwinjuma Hamis maarufu kama mwanaFa amezomewa na kukataliwa...
74 Reactions
392 Replies
10K Views
Hakika Mamluki na wale wanaowatumia Hawana intelijensia Baada ya wadukuzi kuvujisha taarifa ya Selasini masaa 48 kabla sikutarajia Mamluki kuendelea na mpango huo, matokeo yake ni haya ya kila...
47 Reactions
135 Replies
3K Views
Naomba mwenye machapisho ya kitaaluma(articles) za lecturer melkesedeki kitunzi kaijage ayaweke humu jamvini tuweze kumjadili kitaaluma.
1 Reactions
13 Replies
323 Views
Mwenyekiti wa chama cha EFF, Julius Malema, alisema kuwa vyama vingi vya kihistoria vya ukombozi barani Afrika vimekamilisha dhamira yao ya awali ya kupata uhuru wa kisiasa, na vinapaswa kukubali...
21 Reactions
34 Replies
769 Views
Ruhusa hii imetolewa na jeshi la polisi ambao hawakukataza mikutano! Mikutano ilikatazwa na waziri wa mambo ya ndani. Hivi sasa kuna ukamataji ambao huenda umelengwa kwa wafuasi wa Chadema...
8 Reactions
33 Replies
685 Views
Bashungwa akiwa waziri wa mambo ya ndani alijaa kiburi cha kupitiliza na dharau sana huyu mtu yuko wapi? Je yaliyotokea October 29 ndo yanaenda kumzika kisiasa...
7 Reactions
37 Replies
1K Views
  • Featured
Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, DCP David Misime, amesema hali ya usalama nchini kwa sasa ni shwari, hivyo Jeshi litaendelea kupokea taarifa za nia ya kufanya mikutano ya hadhara na vikao...
11 Reactions
74 Replies
2K Views
Tanzania inapokipiga kambi katika ukurasa wa historia ili kuwa mwenyeji wa matukio makubwa ya kimataifa, ikiwemo mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON), taifa hili linajikuta katika...
2 Reactions
4 Replies
330 Views
Unaandaa AFCON na unajua kutakuwa na wageni wengi kutoka mataifa mbalimbali, halafu unatangaza nchi yako sio salama kuna magaidi. Katambi, hukujua kutangaza Tanzania sio salama ni kuigharimu nchi...
5 Reactions
15 Replies
338 Views
Mwanasiasa mkongwe ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira, amesema kuwa katika siasa za ulimwengu hakuna njia za mkato za kuleta amani isipokuwa...
7 Reactions
29 Replies
582 Views
What next? Wewe siyo raia and deserves to be deported to India/ Pakistan or somewhere else of that nature.
8 Reactions
11 Replies
505 Views
Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (NEC), imemteua aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora na mbunge wa zamani wa Siha, Mkoa wa Kilimanjaro, Aggrey Mwanri kuwa Naibu Katibu Mkuu- Bara...
6 Reactions
49 Replies
1K Views
Nadhani kwa situation iliyopo sasa katika Nchi, ni bora zaidi tufuate wosia wa Nchimbi badala ya kumshambulia au kumpuuza. Wengine wanasema, huyu asituchanganye kwa sababu naye yupo ndani ya...
2 Reactions
3 Replies
180 Views
Back
Top Bottom