Hii ni habari njema kwa kutenda haki na onyo kwa wahalifu wa kisiasa waliopo madarakani kuwaua watu nila kufuata sheria.
Hopefully na hii haitaishua hapa, bali madikiteita wote na washirika wao...
Hii nchi ya ajabu sana na hatujui lengo la haya maigizo ya yule mfungwa hususani wa kiume yanamaanisha nini.
Binafsi, namfahamu yule jamaa na kama kuna mtu wa Newala anaweza akawa anamjua yule...
Tume ilitoa mapendekezo muhimu na ya kina ili kuzuia marudio ya ghasia na kuimarisha amani ya kitaifa. Mapendekezo haya yanatokana na uchunguzi wa kina na yanalenga kuimarisha utawala bora...
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Moshi Vijijini umetoa onyo kali kwa viongozi wa Chama, Serikali na Dini watakaobainika kuchezea au kupuuza maslahi ya Vijana, ukisisitiza...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan anatarajiwa siku ya Kesho kuondoka Nchini kuelekea Nchini Uganda kwa...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Maendeleo ya Vijana, Dkt. Joel Nanauka leo Aprili 20, 2026 atawasilisha hotuba ya bajeti ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2026/2027 bungeni jijini Dodoma.
Aidha...
ANGALIZO KWA VIJANA: HAKI YA MAANDAMANO NI YA KIKATIBA — LAKINI LINDA AKILI YAKO KWANZA
Kuandamana ni haki yenu ya kikatiba. Hakuna anayepaswa kuwavua haki hiyo ikiwa mnafuata sheria na misingi...
Moja ya mambo ambayo ni muhimu ni kuhakikisha mto wami unajengwa bwawa mfano wa lile la Nyerere
Hii inawezekana sababu bonde la mto wami ni kubwa sana na liko under-utilized na bwawa likikamilika...
Nchi nyingi bando likibaki linapelekwa kwenye kifurushi kinachofuata, na hapa iwe hivyo bando likibaki lisikatwe lipelekwe kifurushi kinachofuata.
Unaweza kuona sh, 50 inayobaki kwa watu milioni...
Mimi ningekuwa kwenye maamuzi Dkt. Gwajima D Ningempeleka wizara ya vijana Nanauka akaja huku kwenye ustawi wa Jamii.
Dkt Gwajima anawamudu sana GenZ ana hoja anawapiga facts hadi wanakuwa...
Leo Bungeni ni Mkwilima wake ndio ameutangazia umma kuwa Watanzania hasa Watanganyika kuwa wana stress na msongo wa mawazo.
Kwamba wameshadata.
Utaaje kudata kudata wakati wewe huwezi kupata...
Siku zote, historia ya mtu, na anavyotenda siku zote, ndiyo hujenga mazingira ya mtu huyo kuaminika au kudharaulika.
Ni jambo lililo wazi kuwa watu wengi, hasa waliopo Serikalini, hawaaminiki...
Huwezi kuwalegeza vijana kuacha kudai haki zao kwa kuwapa rojo na uchawa. Vijana wanaona mambo mabaya na miaka ijayo vijana wanaongezeka hawapungui! Ushauri wangu ni kwamba tutengeneze mazingira...
Nasikia Dangote ndiye sababu ya Samia kutokualikwa Kenya asingeenda Kenya kama Mama angekuwepo. Wakina Kikwete wamekuwa wanamsumbua sana kwenye kiwanda chake cha cement na kuomba omba rushwa...
Kuna mikoa huchangia mamia ya mabilioni ya kodi kila mwaka kupitia biashara, kilimo, madini na shughuli nyingine za kiuchumi.
Lakini ukifika hata makao makuu na majiji ya mikoa hiyo, maendeleo...
Hili ni onyo kabambe ninalopeleka kwa Wachumia tumbo wote wa serikalini na kwingineko.
Kutumia watu wajinga hawa akina Mashimo n.a. hawa wapuuzi mamluki wa jf kujibu Mzee Warioba ni...
Kuna haya maneno yaliyotumiwa ya "watoto watovu wa adabu kuchapwa mikwaju" yaliyotamkwa na mtawala mhalifu hivi karibuni.
Ni nini maana ya maneno hayo hasa. Tuchukulie kwa maana ya "kuchapa...
Nilitegemea within a week or so, Iran awe " amekufa". Mpaka leo anadunda tena kwa kishindo cha ushindi!
Kumbe USA ni maneno tu hana ubavu wa kupigana Vita!
I stand to be corrected!
Nimeshangaa kusikia anasema eti ili mabadiliko ya katiba mpya wananchi wanatakiwa kupata elimu kwa miaka mitatu . Wajue nini kinafaa ndani ya katiba hii ya sasa na nini hakifai.
Iliundwa tume ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.