Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 621
- 557
Bima ya Afya kwa Wote kugharimu shilingi 150,000 kwa kaya (watu sita).
Wasio na uwezo (wazee, watoto, wajawazito na wenye ulemavu) watagharamiwa na serikali.
Wasio na uwezo (wazee, watoto, wajawazito na wenye ulemavu) watagharamiwa na serikali.