Uchwara Media Group: Kuzinduliwa Very Soon

lubajaro

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2015
Posts
1,780
Reaction score
1,158
Hivi karibuni mwanzoni mwa mwezi ujao nitazindua kampuni yangu Mpya ya Uchwara Media Group...tutaanza na Online Digital Tv na Radio.

Uchwara Media Group itakuwa ni platform kwa watangazaji wote wanaojitafuta kuweza kuandaa na kurusha contents zao na kwenda viral kwenye mitandao ya jamii ikiwemo kuwahoji Superstars wakubwa na wadogo katika platform mbalimbali za kijamii.

Nawasilisha
 
Ni bora iwe ni Uchwara media nasii Uchawa media.
 
Back
Top Bottom