Hello Wadau,
Binafsi naunga mkono Katiba Mpya ila siungi mkono Katiba Mpya ya kuondoa wahuni wa CCM na kuleta wahuni wa Chadema,nataka Katiba Mpya ambayo ni takwa la Wananchi na mda ndio utaileta...
Kuna wakati nakuwa sina uhakika sana na dhamira ya nchi hii kuhamia Dodoma ila ngoja nichukulie kuwa dhamira hii ni ya kweli na itadumu.
Taifa la Marekani walifanya kitu kimoja unique sana wakati...
Kulitolewa wito kuwataka vyama kufanya siasa za kistaarabu.
Kama vile wametumwa yamezuka magenge ya chawa yenye rabsha na uzushi wa kila aina mitandaoni, kupalilia fitna zozote ndani ya vyama...
Ni kweli ni haki ya watanzania kuwa na faragha. Hii ipo ki katiba.
Hata huko Ulaya kwa kwa ajili ya maslahi ya mataifa yao faragha zinaingiliwa.
Sasa iweje hapa nchini watu wa jinsia moja...
Wakuu,
Mchakato huu hauna harufu ya ufisadi ndani yake? Nini maoni yako?
Ikumbukwe, Symbion Power iliondoka TZ ikiwa na deni la waliokuwa wafanyakazi wake lenye thamani ya TZS Bilioni 12 na...
Hivi kweli mtu anaweza kuzawadiwa Ubunge wa Jimbo kinyemela au Kinyume cha Sheria ya uchaguzi?
Kwa viti maalum inawezekana kabisa hata James Mbatia amewahi kupewa.
Jumaa kareem!
Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ibara ya 63 (2) moja ya majukumu ya Bunge la JMT (Mbunge) ni KUISHAURI NA KUISIMAMIA SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano na vyombo vyake vyote...
Spika Dr Tulia amesema wanaofichua maovu kwa njia ya mitandao walindwe badala ya kuwazuia kwani ndivyo inavyofanyika duniani kote
Kama taarifa zinaibua maovu ambayo yanaisaidia Serikal yenyewe...
Wachumi wakubwa Tanzania na mlioko nje ya Tanzania tusaidieni kufanya uchambuzi kati ya Mpina na Mwigulu nani yuko sahihi kwenye hoja ya Mfumko wa Bei na usimamizi hafifu wa Sera za Fedha.
Hebu...
Katibu mkuu wa TLP mh Richard Lyimo amesema Chama chake kilimuunga mkono Hayati Magufuli Kwenye uchaguzi mkuu 2020 kwa sababu waliahidiwa kupewa Ubunge (Wabunge).
Lyimo amesema wao kama Chama...
Wakati akiwa UDSM akisomea Shahada ya Uchumi, Mwigulu alitambulika zaidi kwa jina la Chief Madelu na kuna taarifa za watu wake wa karibu alikuwa sio mhudhuriaji mzuri darasani kwenye Lecture...
Naikumbuka vizuri sana siku ya tarehe 06/04/2021 ambapo Rais wangu mpendwa Mama Samia akiwaapisha viongozi mbalimbali pale Ikulu yetu, alisema kuna suala la Bima ya Afya kwa Wote, wataalam kaeni...
Kwanza ieleweke wazi kuwa kodi ya itayolipwa na wananchi kupitia manunuzi ya vocha za simu ni sawa na kodi ya kichwa waliokuwa wanatoza wakoloni kisha tukairithi na baadae kuondolewa miaka tisini...
Baraza la Madiwani Jijini Mbeya limepiga marufuku Usajili mpya wa Bajaj kwa sababu zimekuwa nyingi kupitiliza mahitaji.
Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya amesema Usajili utakaofanywa ni ule wa...
Habari wana JF,
Binafsi nna kama Miezi 6 au zaidi sijakutana na mwanachi anaeishangilia na kuisifia hii serikali ya Awamu ya Sita.
Ingawa kuna ongezeko la mishahara na Ajira lakini bado kila...
Nachojua Mimi madiwani wa Mbeya ndio wamiliki wakubwa wa bajaji hapo mjini ,.nawafahamu na bajaji mnazomiliki nazifahamu mnataka kuwadhibiti raia wa kawaida wasimiliki bajaji ili biashara yenu...
Habari wakuu?
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Baada ya Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) kutangaza matokeo ya mitihani ya Kidato cha Nne (CSE), nimetafakari sana na kugundua...
HATIMAYE serikali imetangaza kikokotoo kipya cha mafao ya wastaafu, safari hii kukishuhudiwa kuwapo kwa usawa na uwiano kati ya watumishi wa umma na sekta binafsi.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri...
Katika kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi, Jumuiya ya Wazazi CCM Musoma imetoa zawadi kabambe ya Kengele ya kisasa aina ya Rimu la gari, kwa ajili ya kutumika shuleni hapo...
Nimefanya utafiti mdogo kuhusu Sababu za kuongezeka Kwa wageni wanaofanya kazi nchini kinyume cha sheria na mbinu za ukwepaji Kodi wanazotumia nikadhani sheria zetu ni rafiki Sana Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.