Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,023
- 2,742
Nachojua Mimi madiwani wa Mbeya ndio wamiliki wakubwa wa bajaji hapo mjini ,.nawafahamu na bajaji mnazomiliki nazifahamu mnataka kuwadhibiti raia wa kawaida wasimiliki bajaji ili biashara yenu isiwe na ushindani??
Biashara ni huria huwezi kuzuia watu wasiingize bajaji barabarani kwa sababu zimekuwa nyingi huo ni ujuha? Uliwahi kusikia wapi? Kwa hiyo mnaua soko la bajaji Mbeya? Hizo bajaji hazilipiwi Kodi? Waacheni maskini wajitafutie kipato Chao.