Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wasalamu Kama ilivyo ada, ninapenda kuchukua nafasi na muda huu kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia afya njema na Uhai. Pia ,ninawapongeza viongozi wa serikali wakiongozwa na Rais Samia kwa...
2 Reactions
5 Replies
610 Views
Zitto amesema kiongozi yeyote ambaye hatengenezi mrithi wake, basi huyo ni kiongozi ambaye amefeli. Anasema tayari chama chake kimetengeneza vijana wengi wenye uwezo wa kuongozi hata yeye...
4 Reactions
34 Replies
2K Views
Wakuu Salam. Mauaji ya kikatili yanayoendelea nchini hasa mikoa ya Mwanza, Kilimanjaro, Arusha, Mbeya, ona sasa Mtwara yanastua, yanakera, ni hali ya kutisha, hujui lini na wewe utafikiwa...
2 Reactions
0 Replies
620 Views
Sera za kuendeleza na kukikuza kilimo ni lazima ziwe sera za kitaifa (zisizobadilika) na si sera za chama au hisia za Rais aliyeko madarakani. Kilimo ni biashara na ili ifanye vizuri na kuvutia...
0 Reactions
0 Replies
573 Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais Samia Ni kiongozi aliyedhamiria na mwenye kiu ya kutaka kuona watanzania wanatendewa haki kila mahali, ana kiu ya kutaka kuona hakuna mtanzania anayelizwa au kuonewa...
10 Reactions
63 Replies
3K Views
Hivi mnajua nyinyi maccm na vibaraka wa kumchafua mpigania haki na rasilimali za Tanzania kujaribu kumchafua JPM ni sawa na mtu kuweka mguu wake kwenye pango la siafu? Mtu aliyekuwa mkweli...
17 Reactions
41 Replies
3K Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi akiongoza kikao cha kawaida cha Baraza la Mapinduzi, Ikulu Zanzibar. Leo tarehe 02 Februari 2023.
0 Reactions
1 Replies
398 Views
Mke wa Rais wa Zanzibar, Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation ( ZMBF), Mama Mariam Mwinyi amekutana na aliyewahi kuwa Waziri wa nishati na madini wa Oman Dk. Mohamed Bin Hamad...
0 Reactions
1 Replies
705 Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema mfumuko wa bei unaoendelea Nchini kwa bei ya vitu vingi kupanda ni wa Rais na kama akitaka upungue lazima apunguze kodi. Amesema “Ukipunguza kodi...
7 Reactions
7 Replies
2K Views
Mkuu Pasko pokea shukurani zangu za dhati Kwa mchango unaoutoa kwenye nchi yetu kupitia taaluma yako ya uandishi wa habari, ambazo mara nyingi huwa Kwa mfumo wa makala ambapo huandika Kwa kutumia...
5 Reactions
12 Replies
924 Views
Akihojiwa na moja ya kituo cha Radio jijini hapa Arusha, kuhusiana na lini atakaporejea nchini,. Mbunge wa zamani Godbless Lema amesema kuwa atarejea nchini tarehe 1/3/2023 na kuwa anategemea...
6 Reactions
14 Replies
1K Views
Acha porojo mbovu. Kama mnakusanya tani laki tano ya vyakula mbona mfumuko wa bei za vyakula upo juu? ==== Waziri wa kilimo Mhe.Hussein Bashe amesema uwezo wa kuhifadhi chakula umeongezeka...
1 Reactions
56 Replies
3K Views
Magazeti ya leo yamemnukuu Tundu Lissu akisema ugumu wa maisha hautokani na uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan bali ni unatokana na Katiba. 1. Lissu nakuuliza Kwani Katiba ndio imefungua mipaka...
12 Reactions
148 Replies
6K Views
Ndugu Zangu Watanzania, Huo Ni Utabiri wangu kwa jicho la mbali kwa kuangalia Hali ya mambo Inavyoendelea hapa nchini,Kwa namna Rais Samia anavyokubalika,anavyopendwa na watanzania,alivyoiteka...
2 Reactions
39 Replies
2K Views
Katika yote aliyoongea Tundu Lisu la Msingi ni kupanda mno kwa gharama za maisha ikiwemo Watu baadhi kula mlo mmoja kwa siku Lisu anaamini Katiba Mpya ndio suluhisho Je, ni kweli...
4 Reactions
29 Replies
1K Views
Mkuu wa wilaya ni mjumbe wa kamati lukuki za CCM ndani ya wilaya yake. Mwalimu kama mtumishi wa umma anatakiwa asiwe mwanasiasa na asijihusishe na siasa. Polisi na hata wanajeshi pia...
5 Reactions
46 Replies
3K Views
Kitendo cha public servant kukataa uteuzi wa Rais wa nchi, it's not only ni kitendo cha kumu embarrass the appointing authority ambaye ni rais wa nchi, but also ni kitendo cha Insubordination of...
17 Reactions
91 Replies
6K Views
Picha hii ya Mnyonge huyu, Muuza Madafu na Mkazi wa Mkuranga Mkoa wa Pwani, ni Ushahidi kwamba hata wale walioitwa Wanyonge wakati wa Uongozi wa Magufuli hawakuwa salama. Mtu huyu alikamatwa na...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania....na kazi iendelee. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada au hoja yangu kuhusu Wizara ya Elimu na Baraza la Mitihani Tanzania(NECTA) Kwa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom