Lissu amehojiwa na gazeti la mwananchi kuhusu mambo yanayozungumzwa ya yeye kutaka kuwa mwenyekiti. Lissu anasema hana ndoto ya kuwa mwenyekiti chadema.
Lakini tujiulize hapo, makamu mwenyekiti...
Fuatilia yanayojiri Bungeni leo, Februari 3, 2023 Kwenye Bunge la 10, Kikao cha 4
Serikali yasema Vijana 1,732,509 hawana ajira
Akizungumza Bungeni, Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi...
Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu amefanya ziara katika chanzo cha maji Mbaka-Ikama kilichopo Kata ya Itagata Barabara ya Katumba – Mwakaleli.
DC Haniu ameuagiza uongozi wa Mamlaka ya Maji...
Kwanini tunaaminishwa kwamba mtaalamu na msomi wa uchumi NI mmoja tu Bungeni? Kama waziri wa Fedha ndiye mchumi pekee kwenye Bunge zima hoja za kiuchumi zitajadiliwa vipi?
Kwanini nchi ikubali...
Kumekuwa na hizi kauli za Mtetezi wa Wanyonge hivi karibuni..., Ila nadhani ni vema tukajiuliza myonge huyo ni nani na vipi anatetewa.
Binafsi nadhani myonge ni yule mwenye haki lakini hapewi...
Naona Lisu akipewa mialiko kila Kona ya nchi, vyombo vya habari vinakimbizana kuhojiana naye tofauti na awali tulivyoaminishwa Kwamba huyu ni msaliti na MTU asiyelitakia mema Taifa letu.
Kwa...
Waziri Mwigulu bungeni Februari 1, 2022 amesema fedha aliyolipwa Symbion nje ya bajeti sio Bilioni 350 kama ilivyosemwa na wabunge.
Swali ambalo Mwigulu hakulijibu Symbion amelipwa shilingi...
Joti amebeza mchakato wa katiba mpya kwamba hauna tija; nimejiuliza msanii wa Tanzania anawezaje kuwatukana mashabiki zake Bila aibu? Kwamba Joti anajionaa anafaa kuwa DC? Anaona uchawa unalipa...
Watawala kama hamjui, kati ya maeneo ambayo Wachina ni duni kabisa ni kwenye tekinolojia ya uchimbaji madini.
Kwa miaka mingi, China haikuwahi kuingia hata kwenye top 20 kwenye uzalishaji wa...
Wengi tuliamini kuwa kuondolewa kwa zuio la mikutano ya kisiasa ya hadhara ingekuja na neema na utulivu wa kisiasa lakini hali imekuwa tofauti baada ya viongozi waandamizi Chadema kutofautiana...
Nimeufuatilia ziara ya Katibu Mkuu wa CCM ndugu Chongolo mkoani Morogoro na nimemuomba aendelee na ziara kama hii nchi nzima
Chongolo anatembea na Watendaji wa Serikali wanaotekeleza Ilani ya...
Mara baada ya kifo cha Magufuli Chadema walishangilia Sana wakazani Magufuli alikuwa mbaya wao akina Tundu Lisu walikuwa waongo Kuja Tanzania wakisema hakuna Amani Sasa Magufuli hayupo tena...
Alichokijenga Dk Bashiru sasa kinambomoa
Alhamisi, Novemba 24, 2022
Wana JF nimepakua hii habari ili kwa wale wasioingia kwenye magazeti muisome
By Luqman Maloto
Novemba 22, 1963 Rais wa 35 wa...
Jicho Langu linaona kwamba, Serikali imefanya mambo mengi katika kuboresha huduma za afya hapa nchini tangu tupate uhuru mwaka 1961. Miaka ya 1960 hadi 1990 Serikali ilikuwa inatoa huduma za...
January 2023
Mwanza, Tanzania
Mahojiano exclusive/maalum na Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe, Ajenda ya CHADEMA kuanzia sasa 2023 na kuendelea kuelekea mbele
Freeman Mbowe akiongea katika...
Tumekwama sehemu si Kwa Sababu nyingine Bali Kwa Sababu ya overconfidence na kuwa na viongozi wanaowaza zaidi urais kuliko uwaziri. Kwa lengo la kuweka Sawa upepo na kuboresha utendaji nadhani...
ACT WAIBUA TISHIO LA NJAA, TEMBO WILAYA ZA NACHINGWEA, NEWALA
-Wadai wananchi wanakula mizizi, Serikali yaingilia kati
NA MWANDISHI WETU, MATUKIODAIMA APP, LINDI
CHAMA cha ACT Wazalendo...
Sijafahamu lengo la SSH kumpeleka Katwale kuwa mkuu wa wilaya ya Chato.
Huyu ndugu ni mtaratibu, mpole, na aliwahi kufanya kazi NEMC kama mwanasheria, akajijenga kisiasa, akakubalika kweli kweli...
Mhe Abdulaziz M. Abood, Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini ametunukiwa Shahada ya Heshima ya Udakitari kwa kutambua mchango wake katika uongozi na kuisaidia jamii.
Kuanzia sasa atafahamika kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.