Hivi ukiondoa Viti Maalumu, Ubunge wa Kuchaguliwa mtu anawezaje kuupata kinyemela?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,033
Hivi kweli mtu anaweza kuzawadiwa Ubunge wa Jimbo kinyemela au Kinyume cha Sheria ya uchaguzi?

Kwa viti maalum inawezekana kabisa hata James Mbatia amewahi kupewa.

Jumaa kareem!
 
Mbona katika uchaguzi wa mwaka 2020 wabunge wote wa CCM walizawadiwa nafasi hizo na JPM. Jambo la msingi ni nchi kuwa uongozi wa kiimla, kupata nafasi hiyo ni ubwete, cha msingi ni kujipendekeza na kujikomba kwa watawala ili waweze kukuona.
 
Hukuwa umezaliwa 2020?

Mtu kwenye kura za maoni katika chama chake kushika nafasi ya 5 ila anapitishwa yeye

Kwenye kugombea jimboni anapita bila kupingwa sababu washindani wake wote walijaza fomu vibaya
 
Hivi kweli mtu anaweza kuzawadiwa Ubunge wa Jimbo kinyemela au Kinyume cha Sheria ya uchaguzi?

Kwa viti maalum inawezekana kabisa hata James Mbatia amewahi kupewa.

Jumaa kareem!
Kamuulize tulia alizawadiwaje ubunge wa jimbo
 
Hivi matokeo ya member bora wa mwaka jf yalikuwaje kwako? Maana hii post inadhihirisha kuwa wewe yohana mbatizaji wa kichina hukustahili kuwa mshiriki! Ulipewa ushiriki kama zawadi tu
 
Hivi kweli mtu anaweza kuzawadiwa Ubunge wa Jimbo kinyemela au Kinyume cha Sheria ya uchaguzi?

Kwa viti maalum inawezekana kabisa hata James Mbatia amewahi kupewa.

Jumaa kareem!
Hivi kweli mtu anawezaje kuwa mcha Mungu anayemjua Mungu vyema na kujiita ni mcha Mungu huku akiwa CCM!!???
 
Hivi kweli mtu anaweza kuzawadiwa Ubunge wa Jimbo kinyemela au Kinyume cha Sheria ya uchaguzi?

Kwa viti maalum inawezekana kabisa hata James Mbatia amewahi kupewa.

Jumaa kareem!
Silinde, Chacha, Gwajima, Gambo hawa ni baadhi ya waliozawadiwa ubunge bila na mwendazake shujaa wa waAfrika kasoro Wachagga
 
Back
Top Bottom