Spika Tulia asema wanaofichua maovu kwa njia ya mitandao walindwe badala ya kuwazuia kwani ndivyo inavyofanyika duniani kote!

Yupo sawa Mapendekezo ya Waziri Leo Sija yaelewa Waache watu watoe Uhalisia uliopo
Kuweka Vipingamizi mtu mpaka Aende Sijui sehemu Fulan kuripoti Italeta Hofu kwa watoa Taarifa
Mitandao Huleta Msisimko na Kuchukuliwa Hatua haraka
 
Tupinge ukatir kwa kufuta viboko ma-shuleni .....ili masikini watafute pesa za kusomesha watoto private schools 😅😅😅😅..

Hao wabunge,mawaziri + spika watoto wao hawasomi (asante mkapa), mwalim mmoja wanafunzi 200 darasani
 
Ni Wa Chama Gani Tulia? Hala Hala
Job Alisema Kama Mzaha Ingawa Ulikuwa Ukweli Mchungu Unaosemwa Na Wanaume
Walimbana Chap Kwenye Kona,
 
Yupo sawa Mapendekezo ya Waziri Leo Sija yaelewa Waache watu watoe Uhalisia uliopo
Kuweka Vipingamizi mtu mpaka Aende Sijui sehemu Fulan kuripoti Italeta Hofu kwa watoa Taarifa
Mitandao Huleta Msisimko na Kuchukuliwa Hatua haraka
Halafu Kuna mtu mmoja alitamani malaika washuke waje kuizima mitamdao
Na 2020 akazima mitamdao kwa mwezi mmoja, unamzungumziaje huyo?
 
Tupinge ukatir kwa kufuta viboko ma-shuleni .....ili masikini watafute pesa za kusomesha watoto private schools
Mkipiga kelele na kutoa hoja lazima wataondoa

Hata mbwa watukutu huwa wanafundishwa bila kipigwa na wanaelewa
Itakuwa watoto ?
Kupiga haumfanyi kiumbe yeyote ajifunze bali ni kumuumiza tu
 
Spika Dr Tulia amesema wanaofichua maovu kwa njia ya mitandao walindwe badala ya kuwazuia kwani ndivyo inavyofanyika duniani kote

Kama taarifa zinaibua maovu ambayo yanaisaidia Serikal yenyewe ni lazima Watu hao walindwe

Source ITV habari
Ushauri wa PM upo too theoretical.....wacha watu warekodiwe ili tuumbuane tu...Period.
 
Spika Dr Tulia amesema wanaofichua maovu kwa njia ya mitandao walindwe badala ya kuwazuia kwani ndivyo inavyofanyika duniani kote

Kama taarifa zinaibua maovu ambayo yanaisaidia Serikal yenyewe ni lazima Watu hao walindwe

Source ITV habari
Kazi kweli kweli. Nchi ikipata mwema wanajifanya wema ikipata mwovu wote wanakuwa malaika wa shetani.

Katiba Mpya.
 
Back
Top Bottom