Kati ya nchi za Afrika Mashariki, Tanzania ndio yenye kiwango kidogo zaidi cha mfumuko wa Bei
Swala la mfumuko wa Bei ni suala la kidunia, wale waliojifungia wasiojua kinachoendelea duniani...
Kwa kweli utetezi mwingine hata hauna maana...eti kama makamu wa Rais hakuwa na chochote cha kufanya zaidi ya kuwa mtiifu kwa Magufuli!
Wapo wanaoenda mbali na kudai eti yako mengi hakuyaunga...
Kuna wakati mwaka 2000 Kwenye kampeni za uRais Prof Lipumba alituaminisha kwamba dunia nzima inamtegemea Kwenye mambo ya Uchumi hivyo tutafanya kosa kubwa sana tusipomchagua
Dr Mwigulu Nchemba...
Halafu makamu mwenyekiti anacheka tu, Kisha analalamika kuibiwa kura.
===
Mpiga kura akimpatia Mh. LISSU kura aliyompigia mwaka 2020 ambayo ameiweka kwenye kioo (glass laminated vote) kumtia...
Sheikh wa mkoa wa Dsm Alhad Musa Salum amesema CCM imepewa upendeleo na mwenyezi Mungu kwa sababu wanatumia rangi ya kijani ambayo ndio rangi pekee iliyobarikiwa na Mungu.
Alhad Musa amesema hayo...
Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam akanusha waraka ktk mitandao ya kijamii kuhusiswa kwake na aliekuwa mkuu wa mkoa wa Dar katika jimbo la Kigamboni fuatana nae ili upate faida zaidi.
======
Nilimsikia Bashe anasema mazao ya wakulima sio mali ya umma ni mali yao binafisi na faster wajinga wakaunga Mkono hoja.
Bashe hajui kwamba swala la kulisha raia ni jukumu la Serikali yoyote ile...
Hii sio siri. Ni suala ambalo lipo wazi kabisa. Kuwa Godbless Lema hukukimbia mateso ya kisiasa. Bali baada ya kukosa ubunge 2020 ulitafuta fursa.
Leo hii unarudi kupigia mahehasabu ubunge 2025...
Chakula na Mahindi ya msaada yanagawiwa vijijini huko na sio mjini, mjini haijawahi tokea mahindi ya msaada yakagawiwa, na huko vijijini ni wakulima ndio wanalia njaa kali sana. Sasa Bashe...
Shehe wa mkoa wa DSMsm Alhad Salum amesema shehe Mohamed Idd anayerusha vipindi vya dini kupitia Channel ten ni mshamba na kwamba yeye alhad Salum ndio kamleta mjini.
Kiukweli shehe alhad Salum...
Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan maono yake ni kuhakikisha Watanzania wanapata huduma zilizo bora , Mh Rais amekuwa akipigana usiku na mchana kuhakikisha Watanzania wote...
"Njaa inadhalilisha heshima na uhuru wa nchi, inatweza utu wa binadamu kwahiyo tatizo la mfumuko wa bei za vyakula ni tatizo ambalo tutake tusitake lazima tuongeze kiwango cha ubunifu kukabiliana...
Hii ni mojawapo mfanyabiashara wa bara anyang'anywa tenga 30 za ndizi na faini ya shilingi 50,000 kwa kosa la kuingiza ndizi Zanzibar
USSR
====
Alichoandika Askofu Mwamakula katika Ukurasa wake...
Taarifa za Serikali ya Tanzania zilieleza kwamba, Rais Samia aliagiza wenye vyeti feki walioondolewa kazini na serikali ya awamu ya 5, walipwe stahiki zao kuanzia Novemba mosi.
Vyombo vya habari...
SEKA SEKONDARI - WANAVIJIJI WAAMUA KUJENGA MAABARA TATU ZA MASOMO YA SAYANSI
Seka Sekondari ni sekondari ya pili ya Kata ya Nyamrandirira yenye vijiji vitano.
Sekondari hii iliyojengwa Kijijini...
PROF.LIPUMBA
Kuunguruma February 11, viwanja vya Magomeni Morocco(stendi ya mwendokasi)
CUF- Chama cha wananchi wilaya ya Kinondini
Mkutano mkuu wa hadhara
Viongozi wakuu wa chama watakuwepo...
Wakuu habari za asubuhi!
Siku chache zilizopita nilisoma uzi mrefu wa mwanajukwaa moja aliyejitambulisha kama mwalimu wa chuo cha MIST huko Mbeya na mzaliwa wa Rorya Mkoa wa Mara. Alieleza kinaga...
Taarifa hii imetolewa na Alhaji Musa Salum ambaye ni Sheikh wa Bakwata wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwamba eti viongozi wa dini wanatarajia kukutana tarehe 30 July jijini kwa lengo la kuelezea...
Huu ni uzandiki mbaya sana kwa mwanasiasa kumchafua kiongozi aliyetangulia mbele za haki.
Maadamu jinai haina mwisho na huyu Zitto anadai kuwa hayati Magufuli alituma watu kuchoma mali zake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.