Tundu Lissu acha kujichanganya. Mapenzi ya jinsia moja ni faragha iliyokinyume na sheria. Lazima iingiliwe na vyombo vya dola. Ulijichanganya mwenyewe

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
1,114
4,127
Ni kweli ni haki ya watanzania kuwa na faragha. Hii ipo ki katiba.

Hata huko Ulaya kwa kwa ajili ya maslahi ya mataifa yao faragha zinaingiliwa.

Sasa iweje hapa nchini watu wa jinsia moja wakihisiwa kuingiliana kimwili faragha zao zisiingiliwe.

Wewe mwenyewe ulijibu kwa ghadhabu. Sasa umegundua ulijichanganya.

Tundu Lissu hakumbuki maneno aliyosema yeye mwenyewe. Steven Sackur alimuuliza,"Unakubali mashoga wafungwe miaka thelathini jela?"

Tundu Lissu akajibu,"Miaka thelathini jela? Hiyo sikubali.!"

Kwa ubishi ulikuwa labda miaka mingapi. Kwa sababu hata Steven Sackur hakuweka wazi kama anapinga mashoga kufungwa siku thelathini jela.
 
View attachment 2504742
Lissu ana backtrack tu ila sio vibaya.

Kitu anachotakiwa kujua au kukubali mashoga ndio wametoka kwenye faragha wamekuja kwenye hadhara.

Ni tabia. Ushoga sio kile kinachofanywa chumbani tu ila kile kinachoonyeshwa hadharani Wanaume kuvaa vitu vya kike na kuonesha tabia za kike hadharani.

Kukumbatiana na kubusiana wanaume wawili hadharani. etc etc. Yote hayo ni mambo yanaleta chokizo kwa watu na jamii.
 
Tunaandika KATIBA mpya.

Tushiriki mchakato huo Hadi mwisho na tuhakikishe tunapata KATIBA ya nchi inayorandana na mapenzi ya Mungu Kwa WANADAMU.
 
Tundu Lissu hakumbuki maneno aliyosema yeye mwenyewe. Steven Sackur alimuuliza,"Unakubali mashoga wafungwe miaka thelathini jela?"
Tundu Lissu akajibu,"Miaka thelathini jela? Hiyo sikubali.!"
Kwa ubishi ulikuwa labda miaka mingapi. Kwa sababu hata Steven Sackur hakuweka wazi kama anapinga mashoga kufungwa siku thelathini jela.
Ilete hiyo clip na sisi tuisikilize sio umuongezee maneno kwa uchuro wenu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom