Uingereza na Ufaransa wanaandamana kwa ugumu wa maisha, Lissu na CHADEMA changamkieni tenda ya kutengeneza Katiba Mpya kule

The Sunk Cost Fallacy 2

JF-Expert Member
Nov 8, 2022
7,382
8,437
Hello Wadau,

Binafsi naunga mkono Katiba Mpya ila siungi mkono Katiba Mpya ya kuondoa wahuni wa CCM na kuleta wahuni wa Chadema,nataka Katiba Mpya ambayo ni takwa la Wananchi na mda ndio utaileta watake au wasitake.

Baada ya huo utangulizi, Lisu na Chadema wamekuwa wanawadanganya watu kwamba Katiba Mpya ndio suluhisho na muarobaini wa matatizo Yao ya kiuchumi na kwamba Wao wanapigania Hilo Ili watu wapate neema.

Wamefika mbali wanasema maharage kuwa Juu ni sababu ya Kisiasa kwamba Katiba Mpya itatatua Ugumu wa Maisha, mfumuko wa bei nk.

Sasa huko Uingereza na Ufaransa kwenye Katiba Mpya na Bora watu Wanaandamana Kwa sababu za Ugumu wa Maisha uliosababishwa na mfumuko mkubwa wa bei za chakula na nishati kiasi kwamba uchumi ni mgumu.

Kwa kuwa kina Lissu na Chadema ndio mabingwa wa Katiba za kuleta Maisha Bora Kwa Wananchi,nitoe wito kwao wakachangamkie tenda huko Ufaransa na Uingereza au hata Kenya.

Za kuambiwa changanya na zako,kataa wahuni ogopa matapeli wa Kisiasa👇

Afrika hata tuletewe katiba iliyotungwa na Malaika huko mbinguni haiwezi kutusaidia chochote amini nakuambia.
Tatizo la Africa lipo kwa watu wake wenyewe ambao wana Sifa zifuatazo:

1. Uvivu
2. Njaa
3. Umasikini
4. Wizi
5. Kutowajibika

NASEMA HIVYO KWA SABABU HATA HII YA SASA INA MAMBO MAZURI AMBAYO HAYAFUATWI mfamo mzuri alivyoingia rais wa ajabu hapa nchini Hayati JPM. Hata ukichagua nani lazima atupige tu
 
Afrika hata tuletewe katiba ilitungwa na Malaika huko mbinguni hawezi kutusaidia chochote niamini nakuaminia.
Tatizo la Africa lipo kwa watu wake ambao wana Sifa zifuatazo:
1.Uvivu
2.Njaa
3.Umasikini
4.wizi
5.Kutowajibika
NASEMA HIVYO KWA SABABU HATA HII YA SASA INA MAMBO MAZURI AMBAYO HAYAFUATWI mfamo mzuri alivyoingia rais wa ajabu hapa nchini Hayati JPM

1. Ujinga
2. Uvivu
3. Uzembe,
4. Majungu

Hapo humtoi kivyovyote muafrika
 
Hii ipo Wazi kabisa MKUU. Watanzania ili wabadilike ni lazima waache hayo uliyo yaorodhesha.

Hawa pendi kujituma ila wanapenda Fedha. Unamwajiri Kijana Anakuja kazini SAA 4 wakati wewe boss SAA 11 Alfajiri umeshafika ofcn Alafu ndio wakwanza kulalamika kuongezewa mishahara.

Wana visingizio ndani ya mwezi anafiwa Mara mbili ila mpunje kidogo uone ma kelele na ulalamishi wake
 
Hii ipo Wazi kabisa MKUU. Watanzania ili wabadilike ni lazima waache hayo uliyo yaorodhesha.

Hawa pendi kujituma ila wanapenda Fedha. Unamwajiri Kijana Anakuja kazini SAA 4 wakati wewe boss SAA 11 Alfajiri umeshafika ofcn Alafu ndio wakwanza kulalamika kuongezewa mishahara.
Ulalamishi na kulaumu ndio watu wanapenda,kujituma hapana ila shortcut kama wizi,Ufisadi,rushwa na mteremko wa kubebwa
 
Kwa sababu wana katiba nzuri ndio maana unaona wanaweza kwenda kuandamana kupaza sauti zao kwa yale yanayowasibu na lazima yatapatiwa majawabu !! Kwenye Katiba mbaya ukijaribu utajikuta upo Moi kitengo cha mifupa !!
 
Ulivyo mweupe kichwani unadhani katiba ni jambo moja!

Kwa taarifa yako katiba ni kila kitu katika maisha hata kufikiri na kula yako inategemea katiba!
Kama ni Kila kitu mbona haijaleta maisha mazuri huko wanakoandamana? Nendeni basi mkawaandikie Katiba
 
Nyie wehu kweli! Hujui ni kwa sababu ya katiba nzuri waliyonayo wafanyakazi wameweza kufanya mgomo na maandamano.

Hapa kwetu wathubutu hata kutamka kuwa wanapanga mgomo uone moto utakao wawakia!
Kwani katiba ya Sasa inazuia migomo? Wewe shida Yako ni maisha Bora au mgomo?
 
Kwa sababu wana katiba nzuri ndio maana unaona wanaweza kwenda kuandamana kupaza sauti zao kwa yale yanayowasibu na lazima yatapatiwa majawabu !! Kwenye Katiba mbaya ukijaribu utajikuta upo Moi kitengo cha mifupa !!
Kwa nini mnawaambia watu Katiba inaleta ugali na maisha Bora?
 
Back
Top Bottom