Ikungi: Yanayojiri Kwenye Mkutano wa hadhara utakaohutubiwa na Tundu Lissu

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,703
218,247
FB_IMG_1675597705842.jpg


Wakuu mnakaribishwa kwenye mkutano Mkubwa sana wa Hadhara unaofanyika Wilayani Ikungi , Mkutano huo kabambe utahutubiwa na Vigogo wa Chadema, wakiwemo Freeman Mbowe na Tundu Lissu.

Baadhi ya matukio yatakayofanyika yameanza kuvujishwa , huku Tukio kubwa likiwa ni NGUO ZA TUNDU LISSU ALIZOVAA WAKATI WA SHAMBULIO LILE LA KINYAMA, zitakabidhiwa kwa Wazee zikiwa na damu vilevile, ambapo wazee hao watazifua na kuzivaa.

UPDATES
=========
Mapokezi yake mazito yatikisa Ikungi, Umati nikubwa mno! inatisha!
 
Live / Mubashara kutoka : Ikungi Singida Tanzania, CHADEMA yaongea na Taifa



5 February 2023
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amerudi nyumbani kijijini Ikungi, mkoa wa Singida alipozaliwa. Safari yake ya kusalimia ni pamoja na kuongea na wananchi kupitia mkutano wa hadhara
 
View attachment 2507286

Wakuu mnakaribishwa kwenye mkutano Mkubwa sana wa Hadhara unaofanyika Wilayani Ikungi , Mkutano huo kabambe utahutubiwa na Vigogo wa Chadema , wakiwemo Freeman Mbowe na Tundu Lissu .

Baadhi ya matukio yatakayofanyika yameanza kuvujishwa , huku Tukio kubwa likiwa ni NGUO ZA TUNDU LISSU ALIZOVAA WAKATI WA SHAMBULIO LILE LA KINYAMA , zitakabidhiwa kwa Wazee zikiwa na damu vilevile , ambapo wazee hao watazifua na kuzivaa .

Sasa hizo si imani za ushirikina/mizimu?

Pamoja na kukaa ulaya kote huko bado ana mambo ya kienyeji?

Disgusting.
 
Back
Top Bottom