commonmwananchi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2011
- 3,377
- 1,952
Hii ni kauli ya Lissu Antipasi Tundu!
Akiongea na Clouds 360 television kule Tegeta, Jijini Dar es salaam nyumbani kwake.
..."Kwa sheria za Ubelgiji, mimi ninatambulika kama mlemavu, hivyo hata mambo mengi, ikiwemo nauli na vitu kadhaa, ninapata ahueni, kutokana na hali yangu"....Tundu Lissu.
Je! Kama Ubelgiji anatambulika kama Mlemavu, hapa kwetu anatambulika kama??
Je! Huko Ubelgiji wanamtambua kama mlemavu wa nini?
Je! Ni akili?
Je! Ni viungo?
Tusaidieni Majibu, tusije kuwa tunahangaika na mtu ambae, waliomtibu wanaijua kasoro yake!
Kwa mujibu wa kauli yake mwenyewe Lissu.
Nimeweka video Link, ili tusitukanane bila sababu!