Mkutano wa CCM washindwa kuendelea

Mkutano wa CCM washindwa kuendelea

Geofre Maseta

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2022
Posts
880
Reaction score
1,632
Mkutano wa ccm hapa Ikungi umevurugika baada ya wana CCM kuamua kuukacha na kuelekea uliko mkutano wa mhe Lissu. Mkutano wa maadhimisho ya kuzaliwa ccm [emoji28][emoji28][emoji28] picha hiyo hapo wakielekea mkutanoni

FB_IMG_16756034926820885.jpg
 
Watu wa ikungi huwaambii kitu zaidi ya lissu. Yule mbunge wao yupoyupo tu kikatiba ila mioyoni mwa wana ikungi hayupo. Ni dhahiri hata akifanya mkutano singida mjini, mji mzima utarindima na watu watajaa uwanja wa bombardier. Lissu bado sana kuchuja kisiasa tofauti na hayati mrema alivyochuja na kukosa hamasa. Sasa hivi media nyingi za nyumbani zinapenda kufanya mahojiano naye tangu arudi nchini. Yaani huyo mheheshimiwa impalse yake kwa wananchi bado iko juu
 
Hapana hii picha ilikuwa mwaka jana wakati wa uchaguzi wa ndani wa ccm huyo kulia aliyevaa shati ya draft na jeans na kapelo ya ccm ni mshua wangu
 
Nilikuwa nisafiri kwenda huko mkutanoni kwa muheshimiwa huyo kwa lengo la kwenda kushuhudia muitikio wa wananchi na nyomi itakayojaza mkutano huo kujua kama huyo mheshimiwa bado ana ushawishi mkubwa jimboni kwake singida mashariki. Kuna mengi ya kuandika kwa mahudhurio ya watu wengi kwenye mkutano huo
 
Back
Top Bottom