Singida wamemkataa Lissu? Mapokezi yashindwa kufanyika

Countrywide

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2015
Posts
21,484
Reaction score
34,222
Lissu siku ya jana alikuwa na safari ya kwenda Singida kwa ajili ya kufanya mkutano wa hadhara. Alitokea Dar Ila Cha kushangaza Morogoro yakatokea maigizo ya kusema amesimamishwa barabarani. Lakini mbele huko Dodoma na kuendelea wa kumsimamisha hakuwepo.

Wengi walisubiri kuona akifika Singida itakuwaje, lakini wananchi hawakujitokea Kumpokea Kama ilivyokuwa imepangwa. Sababu za wananchi kutojitokeza sijui, labda kakataliwa? Sijui

Muda si mrefu nitakuwa nimefika Ikungi-Singida, na nitaleta kitachojiri japokuwa CCM pia wana mkutano mkubwa wa kuadhimisha miaka 46 hapahapa Singida Magharibi. Tutaona nani ni nani

Hadi sasa hamasa ipo chini sana kwa wananchi juu ya Mkutano wa Lissu. Wengi wana hamasa na mkutano wa ccm chini ya mwenyekiti wa mkoa Mama Martha Mlata na nguo za kijani ni nyingi mno mamia kwa maelfu wanaelekea singida magharibi.

Muda utasema......
 
Lissu siku ya jana alikua na safari ya kwenda singida kwa ajili ya kufanya mkutano wa hadhara. Alitokea dar Ila Cha kushangaza morogoro yakatokea maigizo ya kusema amesimamishwa barabarani. Lakini mbele huko Dodoma na kuendelea wa kumsimamisha hakuwepo.

Wengi walisubiri kuona akifika singida itakuwaje, lakini wananchi hawakujitokea Kumpokea Kama ilivyokua imepangwa. Sababu za wananchi kutojitokeza sijui, labda kakataliwa? Sijui

Muda si mrefu nitakuwa nimefika ikungi-singida, na nitaleta kitachojiri japokuwa CCM pia wana mkutano mkubwa wa kuadhimisha miaka 46 hapahapa singida magharibi. Tutaona nani ni nani

Hadi sasa hamasa ipo chini sana kwa wananchi juu ya Mkutano wa Lissu. Wengi wana hamasa na mkutano wa ccm chini ya mwenyekiti wa mkoa mama Martha mlata na nguo za kijani ni nyingi mno mamia kwa maelfu wanaelekea singida magharibi.

Muda utasema......
Hatulinganishwi na chama chakavu,kwani tumekuwa tukiwatoa kwa ko kila idara,ushawishi,kukubalika,uratibu,hamasa,weledi,ubunifu,utetezi wa haki na maslahi.🤔Sasa hebu na mseme nyie mnaweza nini🤔
 
Lissu siku ya jana alikua na safari ya kwenda singida kwa ajili ya kufanya mkutano wa hadhara. Alitokea dar Ila Cha kushangaza morogoro yakatokea maigizo ya kusema amesimamishwa barabarani. Lakini mbele huko Dodoma na kuendelea wa kumsimamisha hakuwepo.

Wengi walisubiri kuona akifika singida itakuwaje, lakini wananchi hawakujitokea Kumpokea Kama ilivyokua imepangwa. Sababu za wananchi kutojitokeza sijui, labda kakataliwa? Sijui

Muda si mrefu nitakuwa nimefika ikungi-singida, na nitaleta kitachojiri japokuwa CCM pia wana mkutano mkubwa wa kuadhimisha miaka 46 hapahapa singida magharibi. Tutaona nani ni nani

Hadi sasa hamasa ipo chini sana kwa wananchi juu ya Mkutano wa Lissu. Wengi wana hamasa na mkutano wa ccm chini ya mwenyekiti wa mkoa mama Martha mlata na nguo za kijani ni nyingi mno mamia kwa maelfu wanaelekea singida magharibi.

Muda utasema......
Lissu hakufika Singida jana , Umeandika uongo wa kutia aibu sana !
 
Lissu siku ya jana alikuwa na safari ya kwenda Singida kwa ajili ya kufanya mkutano wa hadhara. Alitokea Dar Ila Cha kushangaza Morogoro yakatokea maigizo ya kusema amesimamishwa barabarani. Lakini mbele huko Dodoma na kuendelea wa kumsimamisha hakuwepo.

Wengi walisubiri kuona akifika Singida itakuwaje, lakini wananchi hawakujitokea Kumpokea Kama ilivyokuwa imepangwa. Sababu za wananchi kutojitokeza sijui, labda kakataliwa? Sijui

Muda si mrefu nitakuwa nimefika Ikungi-Singida, na nitaleta kitachojiri japokuwa CCM pia wana mkutano mkubwa wa kuadhimisha miaka 46 hapahapa Singida Magharibi. Tutaona nani ni nani

Hadi sasa hamasa ipo chini sana kwa wananchi juu ya Mkutano wa Lissu. Wengi wana hamasa na mkutano wa ccm chini ya mwenyekiti wa mkoa Mama Martha Mlata na nguo za kijani ni nyingi mno mamia kwa maelfu wanaelekea singida magharibi.

Muda utasema......
Mbona unateseka sana
 
Hivi wewe p_ywide unavutaga bangi za wapi?
Ni lini utaachana na hizo propaganda za kijinga?
 
Lissu siku ya jana alikuwa na safari ya kwenda Singida kwa ajili ya kufanya mkutano wa hadhara. Alitokea Dar Ila Cha kushangaza Morogoro yakatokea maigizo ya kusema amesimamishwa barabarani. Lakini mbele huko Dodoma na kuendelea wa kumsimamisha hakuwepo.

Wengi walisubiri kuona akifika Singida itakuwaje, lakini wananchi hawakujitokea Kumpokea Kama ilivyokuwa imepangwa. Sababu za wananchi kutojitokeza sijui, labda kakataliwa? Sijui

Muda si mrefu nitakuwa nimefika Ikungi-Singida, na nitaleta kitachojiri japokuwa CCM pia wana mkutano mkubwa wa kuadhimisha miaka 46 hapahapa Singida Magharibi. Tutaona nani ni nani

Hadi sasa hamasa ipo chini sana kwa wananchi juu ya Mkutano wa Lissu. Wengi wana hamasa na mkutano wa ccm chini ya mwenyekiti wa mkoa Mama Martha Mlata na nguo za kijani ni nyingi mno mamia kwa maelfu wanaelekea singida magharibi.

Muda utasema......
Tangu Lisu atie tim bongo unahangaika kama "NGUCHIRO"
 
Mbona erothraiti alisema kuna watu wamekesha uwanjani. Au sio uwanja huo mkuu?
 
Back
Top Bottom