Kwanini niliacha kuwa "MATAGA" enzi za Dkt. Magufuli

smarte_r

JF-Expert Member
Nov 8, 2013
4,538
11,868
Ilifika wakati kumpigania jpm hapa JF haikuwa jambo rahisi. ilihitaji kujitoa ufahamu.

Ni kazi iliyohitaji utumie nguvu, mikwara, vitisho na kupindisha ukweli.

Nilijipa kazi ya kumtetea baada tu ya kuapishwa kwake mwaka 2015. kwa hiyari yangu niliamua kuwa mwana propaganda wa wa JPM almaarufu "mataga".

niliamua kuwa mataga wa hiyari kwasababu nilivutiwa na sera zake na dhamira aliyoionyesha kuhusu kukomesha ufisadi nchini.

Niliunga mkono juhudi kwa kushangilia kila kauli aliyozungumza na kila maamuzi aliyofanya bila kujari madhara yake.

Baadae nikaja kujitafakari na kugundua kumbe nilikuwa sehemu ya kushabikia na kuhamasisha uovu, hii ni baada ya kuanza kwa matukio ya watu kuuwa, kutekwa, kubambikiwa kesi, kutishwa hadharani, kuminya vyombo vya habari na jeuri/majivuno kutoka kwa baadhi ya viongozi aliowateua.

Mwaka 2017 tukiwa katika taharuki iliyotokana na tukio la kupigwa risasi Tundu Lissu, niliacha rasmi kushabikia mijadala iliyokuwa inaunga mkono utawala wa Magufuli.
 
The fact aliuza nyumba za Serikali na akagawia mpaka hawara zake kwakweli nilipoteza Imani kwake lakini kwakuwa hakukuwa na mbadala niliona labda tutaenda nae taratibu kidogo.

Shida ilianza alipoingia na kuanza kutoa kauli za kejeli na zenye kukaa kiburi na unyanyasaji na zenye kulenga kuwagawa watanzania na zenye vitisho.

Alianza kutishia waandishi wa habari na kuwateka waliomkosoa, aliwadharau wananchi wa bukoba baada ya kupata na tetemeko na kuwabeza kwamba wasimlaumu yeye hakuleta tetemeko, akala hela za michango ya wahanga wa tetemeko ingali zilichangwa na wasamaria wema na serikali haikutoa hata Mia, akaanza kutukana kila watumishi anaokutana nao, akaanza kutukana majirani, anatukana hata walioko mbali na kila mwenye ngozi nyeupe alimuita beberu, akanyima uhuru wa kisiasa, akazuia haki ya kuchagua na kuchaguliwa aliamua yeye ndio atatuchagulia.

Kwakweli inasikitisha, kuna mambo mengi sana alipoanza kufanya nilibadili uelekeo wangu mapema sana kwakuwa nilijua kwamba huyu mtu sio mzuri hata kidogo anatupeleka sio kuzuri.

Hatusemi kwa Nia ya kueneza chuki, Ila heri amepumzika mapema sana.
 
Muovu anapofariki ni furaha kwa watu wake. Jamaa aliamua kupandikiza uzalendo lakini huo uzalendo ulikuwa ni wa principles anazozitaka yeye. Ilifikia mahali ikawa ngumu kutofautisha mzalendo na mjinga.
 
Ilifika wakati kumpigania jpm hapa JF haikuwa jambo rahisi. ni kazi iliyohitaji kujitoa ufahamu na utu.

Ni kazi iliyohitaji utumie nguvu, mikwara, vitisho na kupindisha ukweli.

Nilijipa kazi ya kumtetea baada tu kuapishwa kwake mwaka 2015. kwa hiyari yangu, niliamua kuwa "mataga" propagandist.

niliamua kuwa mataga wa hiyari kwasababu nilivutiwa na sera yake ya hapa kazi tu na dhamira yake aliyoionyesha kuhusu kukomesha ufisadi nchini.

Niliunga mkono juhudi kwa kushangilia kila kauli aliyozungumza na kila maamuzi aliyofanya bila kujari madhara yake.

Baadae nikaja kujitafakari na kugundua kumbe nilikuwa sehemu ya kushabikia na kuhamasisha uovu, hii ni baada ya kuanza kwa matukio ya watu kuuwa, kutekwa, kubambikiwa kesi, kutishwa hadharani, kuminya vyombo vya habari, jeuri na majivuno kutoka kwa baadhi ya viongozi aliowateua.

Mwaka 2017 tukiwa katika taharuki iliyotokana na tukio la kupigwa risasi tundu lissu, niliacha rasmi kushabikia mijadala iliyokuwa inaunga mkono utawala wa magufuli.
Una akili sana wewe. Sisi wenzio tulimponda Lowasa alipokuwa CCM pamoja na mwenzie Membe tukamsapoti Magufuli.

Ila baada ya Makonda kuanza kutesa watu na kunyang'anya fedha wafanyabiashara na baba yake Magofool akimtetea tukajua hapa hatuna rais tu CHI.ZI maarifa aliyetoroka Milembe.
 
Ilifika wakati kumpigania jpm hapa JF haikuwa jambo rahisi. ni kazi iliyohitaji kujitoa ufahamu na utu.

Ni kazi iliyohitaji utumie nguvu, mikwara, vitisho na kupindisha ukweli.

Nilijipa kazi ya kumtetea baada tu kuapishwa kwake mwaka 2015. kwa hiyari yangu, niliamua kuwa "mataga" propagandist.

niliamua kuwa mataga wa hiyari kwasababu nilivutiwa na sera yake ya hapa kazi tu na dhamira yake aliyoionyesha kuhusu kukomesha ufisadi nchini.

Niliunga mkono juhudi kwa kushangilia kila kauli aliyozungumza na kila maamuzi aliyofanya bila kujari madhara yake.

Baadae nikaja kujitafakari na kugundua kumbe nilikuwa sehemu ya kushabikia na kuhamasisha uovu, hii ni baada ya kuanza kwa matukio ya watu kuuwa, kutekwa, kubambikiwa kesi, kutishwa hadharani, kuminya vyombo vya habari na jeuri/majivuno kutoka kwa baadhi ya viongozi aliowateua.

Mwaka 2017 tukiwa katika taharuki iliyotokana na tukio la kupigwa risasi tundu lissu, niliacha rasmi kushabikia mijadala iliyokuwa inaunga mkono utawala wa magufuli.
Mungu amekusamehe ka dhambi zako. Enenda zako usitende dhambi tena
 
Back
Top Bottom