The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 7,382
- 8,437
Kudos Watanzania..
Tanzania imetajwa kwenye Orodha ya Nchi 100 zenye wanasayansi Bora ambao machapisho Yao yamekuwa yenye manufaa Dunia.
Kwa Mujibu wa Taasisi inayochapisha tafiti za kisayansi ya "AD Scientific Report 2023" mwaka 2023 Tanzania imeshika namba 96 Duniani,namba 2 Afrika Mashariki na Namba 9 kwa Afrika.
Majina ya Wanasayansi na Taasisi wanazofanyia kazi vimebainishwa kwenye ripoti hiyo ambayo imeiletea heshima Tanzania.
Hongera Sana kwa Wanasayansi wetu kwa kuitendea Haki taaluma yenu na hivyo kuifanya elimu ya Tanzania kuwa ya maana na kuto bezwa Tena.
Pongezi nyingi Sana ziwaendee Wanasayansi wa Taasisi ya NIMR na Ifakara Heath Institute (Ihi).👇