Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu amekabidhi jumla ya pikipiki 61 kwa Maafisa Ugani katika Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe ikiwa ni hatua muhimu ya kuboresha na kuongeza tija katika sekta ya...
0 Reactions
2 Replies
525 Views
Katika siasa za Magharibi sijawahi kuona salamu za vyama vya siasa kama za CCM Oyeee...Oyeee au kidumu chama cha mapinduzi...kidumuuu au CDM Peoples....Power au ACT Wazalendo...nchi jana na leo au...
0 Reactions
1 Replies
343 Views
Mbunge kipenzi wa Mbeya mjini Dr Tulia amewapa Mitaji Wanawake 1000 Ili kuimarisha Uchumi wao Hii imefanyika kuelekea Siku ya Wanawake Duniani Dr Tulia ameahidi mambo mazuri zaidi yanakuja hadi...
2 Reactions
8 Replies
819 Views
Siku za hivi karibuni hapa nchini na hasa hasa jijini dsm,vijana wengi mtaani wamekuwa wakijipatia kipato chao cha mkate wao wa kila siku kupitia kazi ya kuokota makopo yaliyotupwa na watumiaji...
3 Reactions
46 Replies
6K Views
WanaJf, salaam tena! Nimekuja kuuliza tena baada ya shangao kubwa linalotokana na ndimu mbili za chama kikongwe cha upinzani - CDM. Kimsingi sitegemei kuona CDM kikitoa misimamo inayoyumba na...
3 Reactions
50 Replies
3K Views
ZAMA zimebadilika sana. Siasa za majukwaani zipo lakini ukweli ni kwamba mitandao ya kijamii nayo ina nafasi kubwa sana Kwa sasa. Na si kila mtandao unafaa kufikisha ujumbe. Jamii Forum ni jukwaa...
6 Reactions
17 Replies
1K Views
Nape, Siku ya jana tarehe 06 Machi 2023 nimekusikiliza kwa kituo kila hoja uliyokuwa unaijibu katika kipindi cha Dk. 45 ambapo ulikuwa unatoa fafanuzi kwa masuala kadha wa kadha. Kwanza...
6 Reactions
11 Replies
760 Views
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr Samia Suluhu Hassan akiwa mjini Arusha katika ziara yake ya siku chache amemualika Nabii mkuuu GEODAVIE katika Ikulu ndogo ya Arusha na KUMPONGEZA kwa...
7 Reactions
79 Replies
6K Views
Wakati dunia ikiadhimisha siku ya wanawake Duniani, wanawake wa kata ya Rutamba halmashauri ya manispaa ya Lindi wamelia na changamoto ya uchakavu wa miundombinu katika kituo cha afya cha Rutamba...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wizara za Muungano zinajulikana ni:- 1. Fedha. 2. Mambo ya Nje. 3. Mambo ya Ndani. 4. Ulinzi. 5. Elimu (mitihani na mtaala tu) Wizara za muungano zinaweza ku-wazirishwa (waziri) toka upande...
0 Reactions
0 Replies
462 Views
Waziri Bashungwa alianzia Wizara ya Kilimo kama Naibu Waziri Akawa Waziri wa Viwanda na Biashara Akawa Waziri wa Habari Utamaduni, Sanaa na Michezo Akawa Waziri wa Utamaduni Sanaa na...
5 Reactions
36 Replies
4K Views
Ikiwa ni miaka miwili tangu Rais Samia Suluhu aingie madarakani kuna mengi ameyafanya lakini kuruhusu chanjo ya UVIKO-19 nchini na yeye kuwa wa kwanza kuchoma chanjo mbele ya watanzania wote...
0 Reactions
2 Replies
519 Views
Akiongea mkutanoni Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa Mchungaji Msigwa, amesema yeye aliingia Bungeni kwa mara ya kwanza 2010 na ni mwaka huo CCM walibuni huu usafiri wa Bodaboda. Mchungaji...
2 Reactions
48 Replies
2K Views
Mtu akifanya jambo jema ni heri kumshukuru. Mbowe na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia, historia itawakumbuka daima hapa Tanzania na dunia kwa ujumla. Mmeliunganisha taifa la...
5 Reactions
12 Replies
626 Views
Kuna watu wengi(wafanyabiashara na wafanyakazi) wananununua bodaboda na kwawakabidhi vijana kwa mkataba ambao huwaletea makusanyo kila siku au kila wiki. Hawa hawawezi kukubaliana na Lema kamwe...
3 Reactions
4 Replies
417 Views
Lema amekuwa nje ya nchi kwa muda mrefu. Karudi ana mawazo ya ajabu ajabu na bado anafikiri yupo kipindi cha Magufuli, kile cha ugomvi ugomvi na mivutano. Anachoongea sasa ni kama samaki...
10 Reactions
77 Replies
3K Views
Mbunge wa Viti Maalum Vijana Kusini Unguja Latifa Juwakali alishiriki halfla ya Uzinduzi wa ugawaji wa sare za Skuli kwa watoto wenye mahitaji Maalum katika Skuli ya Uzini, Wilaya ya Kati, Kusini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
KUNA mambo yanafanyika nchi ambayo unaweza kuyakuta katika Banana Republic tu au "nchi ya kusadikika" isiyojali wala kuzingatia haki na misingi ya kisheria. Wakati Rais Samia Suluhu Hassan...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
BODABODA ni jina maarufu lililozoeleka nchini Tanzania likimaanisha ni Dereva anayeendesha chombo cha moto aina ya Pikipiki, ambapo kwa siku za nyuma iliaminika ni usafiri ambao anaweza kutumia...
0 Reactions
2 Replies
551 Views
Taarifa kutoka Mahakamani zinaeleza kwamba , miongoni mwa mashahidi Muhimu kwenye kesi iliyofunguliwa na Mamluki Halima Mdee na wenzake 18 dhidi ya CHADEMA , watakaohojiwa na Mawakili wa Utetezi ...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Back
Top Bottom