Hii nayo ni Kero ya Muungano?

Filosofia ya Rorya

JF-Expert Member
Sep 20, 2021
3,215
3,587
Wizara za Muungano zinajulikana ni:-
1. Fedha.
2. Mambo ya Nje.
3. Mambo ya Ndani.
4. Ulinzi.
5. Elimu (mitihani na mtaala tu)

Wizara za muungano zinaweza ku-wazirishwa (waziri) toka upande wowote wa muungano.

Wizara zisizo za muungano kwenye muundo wa baraza la mawaziri la JMT Mzanzibari hawezi ku-wazirisha (kuwa waziri).

Swali fikirishi:

Mhe. Prof. Makame Mbarawa MB, kuongoza wizara ya Ujenzi ya serikali ya muungano siyo kuvunja Katiba? Na siyo kero ya muungano?

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom