Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Taarifa kutoka Mahakamani zinaeleza kwamba , miongoni mwa mashahidi Muhimu kwenye kesi iliyofunguliwa na Mamluki Halima Mdee na wenzake 18 dhidi ya CHADEMA , watakaohojiwa na Mawakili wa Utetezi ...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Leo hii saa 8 Mchana, Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam itatolea uamuzi Mapingamizi yaliyowekwa na Mawakili wa Chadema dhidi ya waliotimuliwa kwenye chama hicho wanaoongozwa na Halima Mdee ...
30 Reactions
315 Replies
28K Views
Wakuu, Askofu mkuu Jimbo Katoliki la Dar es Salaam anaongea na waandishi wa habari juu ya Pugu Marathoni lakini pia amegusia swala la maadili ya jamii. Amesema amefurahishwa na kauli dhabiti ya...
21 Reactions
209 Replies
11K Views
Wala haina ubishi, kila kitu kipo wazi kwa sasa, CHADEMA nawapongeza kwa hii style mliyokuja nayo, hata kule Kenya, kuitoa KANU wapinzani walishika urafiki nao na kujua siri zao zote. Hakukuwa na...
7 Reactions
35 Replies
2K Views
Ni jambo la kheri kuwa CHADEMA itakuwa na ugeni mkubwa kesho. Uthibitisho thabiti kuwa upinzani siyo jinai tena. Pongezi nyingi kwa Mama Samia Rais wetu kwa hili. Hivyo basi itumike fursa hii...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Rais wetu wa awamu ya 5, Dkt Magufuli alishafariki, hatuko naye tena. Hasikii, haoni tena. Amerudi mavumbini. Mtu amefariki tarehe 17/3/2021 lakini hadi leo kuna watu wanamsema vibaya...
2 Reactions
17 Replies
817 Views
MBUNGE MHE. AMINA MZEE AMESHIRIKI MAADHIMISHO YA WIKI YA CHIPUKIZI WILAYA YA MICHEWENI Mbunge wa Viti Maalum Vijana Mhe. Amina Ali Mzee ameshiriki Maadhimisho ya wiki ya Chipukizi Wilaya ya...
0 Reactions
0 Replies
663 Views
Amefunguka 👇 ==== Alichokisema Hamis Kigwangalla katika majadiliano ClubHouse Mbunge wa Jimbo la Nzega Vijijini, Dkt. Hamis Kigwangalla amezungumza kwenye majadiliano ya Clubhouse na kuelezea...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Ukimsikiliza Lema haongei kwa bahati mbaya. Anachoongea na anachofanya sasa ni kufitinisha Wanachama na Chama Cha CHADEMA. Alianza na kusema waendesha Boda boda wamelaaniwa. Hivyo, hata kula zao...
11 Reactions
73 Replies
4K Views
Miongo mitatu sasa, lugha inayongumzwa na wapinzani ni kufa kwa CCM, lakini mpaka ukimuuliza yeyote akuambie kitatokea lini na wapi au kitasababishwa na nini, hakuna mwenye uhakika. Wengine...
2 Reactions
12 Replies
860 Views
Wazir wa Kilimo ameagiza Mshindo Msolwa na wafanyakazi wengine wanosimamia ghala la kuhifadhi Mbolea wakamatwwe baada ya kubainika wamehifadhi mchanga unaofhaniwa unatumika aidha kama bosheni au...
18 Reactions
93 Replies
9K Views
Naenda moja kwa moja kwenye hoja ya msingi, Hivi umejaribu kutumia hata dakika tano kumsikiliza huyu jamaa anaitwa Ezekia Wenje Mbunge Mstaafu wa CHADEMA wa jimbo moja huko Mwanza, jamaaa anajua...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Uchaguzi wa mwaka 2025 hauko mbali, ni wakati sasa vyama vikaanza kuandaa ajenda au ilani kama wengine wanavyopenda kuita. Katika hizo ilani zao haya yasikosekane ajira nzuri za heshima/"Decent...
0 Reactions
2 Replies
570 Views
Chama cha ACT wazalendo Kumpongeza sana Rais Samia kwa kukubali mwaliko wa Bawacha kuwa mgeni rasmi kwenye Mkutano Wao Siku ya Wanawake Duniani 8/3/2023. ACT wanasema hii inaonesha nia Njema ya...
12 Reactions
64 Replies
3K Views
Kudos Wadau. Hakuna awamu ambayo VP na Waziri wa Fedha Wana enjoy kama awamu ya 6. Kazi ya VP haidharauliki tena sio ya kutembea na mkasi Kali ilivyozoeleka. Hongera zake. Makamu wa Rais wa...
0 Reactions
2 Replies
683 Views
Kuelekea siku ya wanawake Duniani, Jamii Forums inatambua umuhimu wa wanawake kushiriki katika sekta mbalimbali kwa kuwa wana uwezo na juhudi za kufanya kazi kwa ufanisi na inajivunia ufanisi na...
7 Reactions
4 Replies
994 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 16 Januari, 2019 amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe. Dkt. Olusegun Obasanjo Ikulu Jijini...
9 Reactions
63 Replies
10K Views
Juzi tumesikia vyombo vya habari vikiripoti ujio wa Mzee Obasanjo. Ni uhakika kwamba alikuja kwa ajili ya jambo maalumu .. Ni kama vile Rostam aziz alipo kuja kushughlikia swala la mdogo wake...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Duniani kote alipowekeza Dangote itokeapo sintofahamu Mzee Obasanjo huwa wa kwanza kwenda kwa wakuu wa nchi husika kwa kisingizio cha kuwatembelea kama mstaafu. Ukiunganisha dot ni wazi unaweza...
12 Reactions
26 Replies
4K Views
Huu ni utafiti binafsi na inarihusiwa na wewe comrade ufanye utafiti wako pia. Hii kauli inakua akitamkwa sana na inaongezeka kila uchwao. Jambo la kushangaza ni kwamba, kuna watu walikua against...
5 Reactions
9 Replies
601 Views
Back
Top Bottom