Salamu za vyama ni utamaduni wa Tanzania, Africa au Ukomunisti?

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
37,660
46,347
Katika siasa za Magharibi sijawahi kuona salamu za vyama vya siasa kama za CCM Oyeee...Oyeee au kidumu chama cha mapinduzi...kidumuuu au CDM Peoples....Power au ACT Wazalendo...nchi jana na leo au CUF Haki...sawa kwa wote n.k.

Sehemu kubwa ya mifumo yetu ya kisiasa tumeiga/tumekopa au kurithi kutoka nje na kwa wakoloni wetu hata kama hatutendi kila kitu sawa na wao. Huu utamaduni wa salamu za kudumu za vyama ulitokea wapi?
 
Unataka kesho Mwenyekiti wetu asitumie salamu yetu yenye historia ya Kimapinduzi barani Afrika?
 
Back
Top Bottom