Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Naibu waziri wa Afya Dr Mollel amesema mambo ya hovyo bado yanaendelea sehemu mbalimbali nchini kwa sababu hakuna Dini iliyowahi kumshinda Shetani Source Star tv
4 Reactions
34 Replies
3K Views
Heche, Kwanza pole na majukum ila pia hongera kwa kunimalizia bando maana nakusikiliza sana kwenye ziara mbalimbali za kichama usimamapo jukwaani, kipo kibari kikubwa juu yako, Mungu anasema juu...
1 Reactions
3 Replies
699 Views
Wanabodi, Nchi hubarikiwa kwa viongozi wake kufanya mambo mema. Kwa kauli hii, ya jana ya Rais Samia alioitoa Bukoba, kwa kutoa msamaha wa jumla wa deni la kodi, za nyuma, Rais Samia...
6 Reactions
30 Replies
3K Views
Wanawake, wanauwezo wa kushinda chaguzi kuliko wanaume, hivyo hawahitaji tena upendeleo au kutengewa viti maalum!. Imethibitishwa kuwa wanawake wakijengewa uwezo wa kujiamini, wanauwezo wa...
2 Reactions
61 Replies
10K Views
Good morning members. Heri ya siku ya wanawake. Ukiangalia Kwa jicho la kawaida kabisa ni kwamba Mh. Rais ana ndoto ya kuona siasa za bara na Zanzibar zinakuwa Sawa 2025. Inaonekana Rais anataka...
2 Reactions
12 Replies
685 Views
Nchi hii narudia tena ina watu wapumvavu sana, yaani kuna raia wanaaminu mtu kama Mbowe kazaliwa aje Duniani kuwatetea na kuwasemea wao wakiwa buys na mambo yao na ikibidi Mbowe aandamane yeye na...
12 Reactions
12 Replies
697 Views
Kulikuwa na hekaya kuwa huko juu milimani kuna bonde ambalo wakazi wake wote ni vipofu. Siku moja mpanda milima mmoja kwa bahati mbaya aliteleza na kuporomokea kwenye bonde refu sana. Bonde...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kweli Rais Samia ni Profesa wa siasa. CHADEMA inakufa hivi hivi. Ikumbukwe siasa ni Imani na ni Itikadi. Salamu katika siasa inabeba falsafa ya chama kama ilivyo salamu za dini. Huwezi kuingia...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana ametoa wito kwa Watumishi wa Wizara hiyo waendelee kuzingatia maadili ya utumishi wa umma na kufanya kazi kwa bidii ili kutimiza...
0 Reactions
0 Replies
435 Views
Mbowe anawaza kujenga nchi Bila kujali madhara kisiasa Kwa chama chake. Amefanya hivyo kila anapoingizwa majaribuni na watawala. Upande wa pili viongoz WA CCM mara zote wamekuwa wakimtumia Mbowe...
1 Reactions
8 Replies
672 Views
Mh Sugu ameandaa Tamasha kubwa la Muziki siku ya Leo ndani ya Serena Hotel, huku akishirikiana na wanamuziki wenzake Wakongwe, Akiwemo Komando Jay Dee. Sasa cha kushangaza ni aina ya watu...
44 Reactions
218 Replies
18K Views
Unapokwenda kwenye negotiation lazima ukubali baadhi ya Haki zako kulingana na terms za majadiliano. Serikali chini ya CCM imeridhia na imethibitika hivyo kwamba mambo yafuatayo yakifanyika kama...
1 Reactions
9 Replies
973 Views
Nadhani inabidi kuirejea hii ajenda ya katiba mpya, ni kweli wananchi wanaitaka au ni wanasiasa ndio wanaitaka? Kenya Wana katiba mpya, lakini bei za bidhaa ziko juu mpaka Leo Erick Omondi...
6 Reactions
49 Replies
2K Views
Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema alijaribu kufanya Shahada ya Uzamivu lakini kutokana na majukumu mengi ameshindwa huku akisema ataimalizia baadaye. Mkuu huyo wa nchi...
12 Reactions
116 Replies
10K Views
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Lema amesema endapo atamuona mtoto wa Waziri mkuu mh Majaliwa au mtoto wa Rais Mwinyi anaendesha Bodaboda ndipo ataomba radhi. Lema amesisitiza Kuwa Bodaboda ni...
39 Reactions
261 Replies
12K Views
Nimeona uzi wa mdau mmoja Upepo wa Pesa nadhani akilalamika ni kwanini nala wawekeze USD 5 Million in Kenya wakati kampuni imeasisiwa na mtanzania? Mods nawaomba msiunganishe huu uzi kwasababu...
24 Reactions
53 Replies
4K Views
Kwa ambao hamjui NALA ni kampuni ya Tanzania inayo jihusisha na huduma za fedha. Siku chache zilizo pita mkuu wa kampuni hiyo ametangaza kujenga makao makuu ya kampuni hiyo nchini Kenya na...
40 Reactions
235 Replies
17K Views
Kwakweli nimechoka na siasa za bongo. Miezi michache iliyopita Zitto Kabwe alikuwa anashambuliwa Kila Kona kwa sababu ya ruzuku. Wakamwita msaliti na matusi chungu nzima. Leo Chadema chini ya...
9 Reactions
46 Replies
2K Views
Tumechoka damu ya watanzania kumwagwa kila mara, Lowasa, Mbowe na Sumaye na Katibu mkuu wachukue wake zao na wanao waanzishe maandamano na watueleze wanaanzia wapi.- OLESENDEKA (muda huu redioni...
1 Reactions
94 Replies
10K Views
Picha inajieleza .... ====== Watumishi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) wakiendelea na maandalizi kwa ajili ya kukuletea mbashara matangazo ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake kwa Chama...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom