Bashungwa Waziri kwa miaka 4 akiwa amehudumu kwenye Wizara 6, Jamaa ana akili sana!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,975
Waziri Bashungwa alianzia Wizara ya Kilimo kama Naibu Waziri

Akawa Waziri wa Viwanda na Biashara

Akawa Waziri wa Habari Utamaduni, Sanaa na Michezo

Akawa Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo

Akawa Waziri wa Tamisemi

Sasa ni Waziri wa Ulinzi na JMT

Jamaa ana akili sana
 
Jamaa ni smart sana ni azina ya taifa Magufuli kweli alijua kuvumbua vipaji visivyoonekana ila kwa siasa za nchi hii usije kukuta anaishia kama akina lukuvi huku wakina Nape na Mwitozo wanaendelea kupeta.
 
Kaleta tija gani kwenye hizo wizara? Huenda anahamishwa kwa underperforming
 
Hebu tuelezee jambo moja jipya na lenye manufaa kwa Taifa alilolifanya ktk wizara zote hizo.
 
Sawa ana akili.

Je Kaacha alama gani huko alipotoka na kuoita?
 
Jamaa ni smart sana ni azina ya taifa Magufuli kweli alijua kuvumbua vipaji visivyoonekana ila kwa siasa za nchi hii usije kukuta anaishia kama akina lukuvi huku wakina Nape na Mwitozo wanaendelea kupeta.
Hazina na si azina..mashulenj hamfundishwi kiswahili siku hizi!?..maana wengi mna shida hiyo
 
Jamaa ni smart sana ni azina ya taifa Magufuli kweli alijua kuvumbua vipaji visivyoonekana ila kwa siasa za nchi hii usije kukuta anaishia kama akina lukuvi huku wakina Nape na Mwitozo wanaendelea kupeta.
Kwanza hukom alikopelekwa ni mtihani. Maana huyu waziri ni kiherehere sana, huko Tamisemi alikuwa ni mkurupukaji sana. Wafanyakazi chini ya TAMISEMI watafanya sherehe ya kufa mtu kuhama kwake.

Wizara alikopelekwa kunahitaji kutuliza akili na kujua mkubwa kiuhalisia ni nani? Waziri wa ulinzi au Mkuu wa majeshi? Atulie vinginevyo itamshinda.. Mtihani!!!!!!!! Kaingia choo cha kike.
 
Back
Top Bottom