Kesi ya akina Mdee: Ndugai na Mahera Kortini

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
141,294
Reaction score
283,242
Taarifa kutoka Mahakamani zinaeleza kwamba , miongoni mwa mashahidi Muhimu kwenye kesi iliyofunguliwa na Mamluki Halima Mdee na wenzake 18 dhidi ya CHADEMA , watakaohojiwa na Mawakili wa Utetezi , yumo Spika aliyefurushwa madarakani , Job Ndugai na Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Dr Mahera .

Chanzo : Raia Mwema .

Endelea kufuatilia hapahapa JF kwa taarifa zaidi .
 
Taarifa kutoka Mahakamani zinaeleza kwamba , miongoni mwa mashahidi Muhimu kwenye kesi iliyofunguliwa na Mamluki Halima Mdee na wenzake 18 dhidi ya CHADEMA , watakaohojiwa na Mawakili wa Utetezi , yumo Spika aliyefurushwa madarakani , Job Ndugai na Mkurugenzi wa Tume duni ya Uchaguzi Dr Mahera .

Hii nchi Mungu kwa huruma yake angei overhaul tu
 
Taarifa kutoka Mahakamani zinaeleza kwamba , miongoni mwa mashahidi Muhimu kwenye kesi iliyofunguliwa na Mamluki Halima Mdee na wenzake 18 dhidi ya CHADEMA , watakaohojiwa na Mawakili wa Utetezi , yumo Spika aliyefurushwa madarakani , Job Ndugai na Mkurugenzi wa Tume duni ya Uchaguzi Dr Mahera .

Chanzo : Raia Mwema .

Endelea kufuatilia hapahapa JF kwa taarifa zaidi .
Hehehe....umesema tume nini?
 
Taarifa kutoka Mahakamani zinaeleza kwamba , miongoni mwa mashahidi Muhimu kwenye kesi iliyofunguliwa na Mamluki Halima Mdee na wenzake 18 dhidi ya CHADEMA , watakaohojiwa na Mawakili wa Utetezi , yumo Spika aliyefurushwa madarakani , Job Ndugai na Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Dr Mahera .

Chanzo : Raia Mwema .

Endelea kufuatilia hapahapa JF kwa taarifa zaidi .
Mahela na Ndugai Mungu angeliamua UGOMVI
 
Ingelikua mahakama ziko huru wangalau ningetegemea huyo Ndugai na Mahera kukutana na kitu kizito. Ila kwa hizi mahakama zinazotoa maamuzi kinyume kabisa na mwenendo wa ushahidi, sitegemei jipya lolote.
 
Taarifa kutoka Mahakamani zinaeleza kwamba , miongoni mwa mashahidi Muhimu kwenye kesi iliyofunguliwa na Mamluki Halima Mdee na wenzake 18 dhidi ya CHADEMA , watakaohojiwa na Mawakili wa Utetezi , yumo Spika aliyefurushwa madarakani , Job Ndugai na Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Dr Mahera .

Chanzo : Raia Mwema .

Endelea kufuatilia hapahapa JF kwa taarifa zaidi .
SPIKA aliyekimbizwa Ofisini atakuwa shambani sijui kama atafika
 
Nilisikia Ndugai baada ya kuropoka, alipelekewa barua asaini, akaambiwa madhara ya kutokuisaini, akaamua kusaini, akajiuzulu. Mwenye kujua zaidi atuwekee bayana hapa.

Jesus is Lord
 
Hii filamu itaisha kwa Chadema kuaibika kama kawaida yao.
 
Back
Top Bottom