Keshokutwa ni siku ya wanawake duniani na tayari BAWACHA kupitia Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe.Mbowe wamempa mualiko Mhe.Rais wa kuhudhuria kongamao la BAWACHA.
Kwa mtazamo wangu Jambo hilo sidhani...
LEO TENA KTK UNTOLD STORIES OF ZAMA ZA GIZA by Boniface Jacob
Tuelekee huko Kaskazini Mwa Tz, Mkoani Kilimanjaro,Wilaya ya Hai.
Ilikuwa Siku ya Ijumaa ya Tarehe 30 October 2020 ikiwa ni Siku 2...
Namshukuru sana Lema kwa kuona tatizo la bodaboda na kuliongelea. Kimsingi jamaa yuko sahihi sema siasa zitaaribu hoja yake ya msingi. Bodaboda ni tatizo kubwa sana nchini, miaka 20 ijayo ilo...
Wakati mikutano ya kisiasa imezuiliwa na vyama vya siasa vimefarakana Mataga walikuwa wakiunga mkono na wakisema hiyo hali hiyo ni muhimu ili watu wafanye kazi. Kwamba wapinzani wasifanye siasa...
Nawasalimu waungwana wote wa JF,
Nimesoma mahali kuwa CHADEMA wameanza kupokea ruzuku za kila mwezi zinazotokana na uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. Ulikuwa ni msimamo wa CHADEMA kuwa uchaguzi mkuu...
Kumekuwa na mijadala mikubwa ikiendelea nchini sasa kuhusu yale yanayoitwa maridhiano ya kisiasa. Kimsingi ni maridhiano kati ya chama tawala na vyama vya upinzani. Lakini haikupaswa kuwa hivyo...
Upinzani nchi hii umekomaa na kuota mizizi kiasi kwamba ni vigumu kufuta upinzani hapa nchini na ndio maana Mwendazake alifeli vibaya katika adhma yake ya kutaka kuua upinzani(kafa yeye kaacha...
Haya Sasa hali inazidi kuwa Tete Kenya..
Chini ya mwaka mmja Kenya inakumbwa na upungufu wa mafuta,Tanzania Haijawahi kimbwa hata siku Moja ukiacha zama za Jiwe.
Ikumbukwe Kenya inaongozwa na...
RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya siku ya wanawake wa Chadema (BAWACHA) kitaifa itakayofanyika mkoani Kilimanjaro Machi 8, 2023.
Mwenyekiti...
Kuna kitu hakiko sawa na kinaenda kutolewa ufafanuzi muda mfupi ujao.
Nadhani hii haikuwepo katika ratiba yake ila ndugu Godbless Lema anaitisha mkutano wa hadhara wa dharula, ngoja tuone na mlio...
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema Utaratibu wa viongozi waandamizi waliokihama chama kurejea ni tofauti na Ule wa Wanachama wa kawaida
Mbowe amesema iwapo Dr Slaa anatamani kurejea Chadema...
Bingwa la kufikiria nje ya box, Mbunge wa Nzega Kigwangallah ameenda live kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram na kujibu maswali kadhaa ya watu wake wa Jimbo.
Kigwangalla amesema amepokea kwa...
Wagalatia.3:1-14.
Enyi Wagalatia msio na akili, ni nani aliyewaloga, ninyi ambao Yesu Kristo aliwekwa wazi mbele ya macho yenu ya kuwa amesulibiwa? Nataka kujifunza neno hili moja kwenu. Je...
Katika nchi hii mfumo wa tuhuma, mashitaka na kesi unaweza kuanza na wanasiasia. Ni kawaida kabisa kusikia DC, RC, Waziri au Rais wakiamuru mtu au watu wakamatwe na vyombo dola katika mikutano ya...
Ni taarifa ambayo bado inafanyiwa kazi ila kwa habari zilizopo ni kuwa kuna maofisa wa moja ya mashirika ya uma wamekutwa India. Na walipohojiwa wanafanya nini wamejibu wameenda kujifunza...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi wa Usa River Mkoani Arusha leo tarehe 05 Machi, 2023 akiwa njiani kurejea jijini Dodoma baada ya kufunga kikao...
Rushwa ni hali ya mtu kutenda au kutokutenda jambo fulani kwa mtu au kikundi cha cha watu kwa nia ya kujipatia faida binafsi, Baada ya kupatiwa au kuahidiwa kupatiwa kiasi fulani cha fedha au vitu...
Salam wakuu,
Bila kupoteza muda huu ndiyo uhalisia wa hali ya siasa nchini kwa sasa.Wanasiasa wako busy kufurahishana na kulambishana asali huku wakipongezana kwa kauli ya "MARIDHIANO" huku...
Wengine wanafikiri bado tupo kwenye zile zama za ulimbo na ulimbombo, zile zama za kuambiwa Jambo na kukubali bila kujiridhisha. Wanaofanya hivyo wanatambua watanzania ni wavivu sana wa kutafuta...
Naibu waziri wa Afya Dr Mollel amesema mambo ya hovyo bado yanaendelea sehemu mbalimbali nchini kwa sababu hakuna Dini iliyowahi kumshinda Shetani
Source Star tv
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.