Rais Samia amualika nabii mkuu Geodavie Ikulu ndogo ya Arusha na kumpongeza

kumusoma

JF-Expert Member
Feb 3, 2014
566
889
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr Samia Suluhu Hassan akiwa mjini Arusha katika ziara yake ya siku chache amemualika Nabii mkuuu GEODAVIE katika Ikulu ndogo ya Arusha na KUMPONGEZA kwa kutoa milion 100 pale Samunge. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kanisani kwake jana, Nabii mkuu alisema alipongezwa pia na mawaziri, manaibu wao na makatibu wakuu kwa kazi yake nzuri ya kusaidia wananchi pale Samunge.
 
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr Samia Suruhu Hassan ,akiwa mjini Arusha katika ziara yake ya siku chache amemualika ,Nabii mkuuu GEODAVIE katika Ikulu ndogo ya Arusha na KUMPONGEZA kwa kutoa milion 100 pale Samunge.Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kanisani kwake jana ,Nabii mkuu alisema alipongezwa pia na mawaziri ,manaibu wao na makatibu wakuu kwa kazi yake nzuri ya kusaidia wananchi pale Samunge.
Nabii mkuu ana kashfa za kulala na wake za watu, ina maana Dr SSH halijui hilo?
 
Intelligence Services mtaarifuni rais harakati na utajiri wa George David Malembeka a.k.a Nabii Mkuu umetoka wapi.
Anzieni alipokuwa mchuuzi mitaa ya Chugga
 
..kwanini Ssh hakubadilisha dini ili amfuate huyo Nabii?

..huyu Maza anatapatapa na kujivunjia heshima kwa kujiweka karibu na matapeli ya kiimani.
Chukua hii:,.."kama hujui viongozi wengi wa Dini ni wasaidizi wa Mamlaka",..rejea gwajiboy,mmposa & Co..
 
Mimi nikadhani rais ndo kaalikwa kwenda kwenye ikulu ya nabii mkuu, basi sawa...
 
Wakati wa zile siku 100 niliandika si vizuri kushangilia mapema wkt safari bado mbichi.

Ila ni suala la muda na kwa taratibu na itafahamika tumesimamia wapi!.
 
Intelligence Services mtaarifuni rais harakati na utajiri wa George David Malembeka a.k.a Nabii Mkuu umetoka wapi.
Anzieni alipokuwa mchuuzi mitaa ya Chugga
Watu wanatoka mbali nawe pambana ufike utakapo,usimsagie kunguni haitokusaidia kutajirika Kama yeye 😅😅🏃
 
Back
Top Bottom