Uteuzi uliofanywa juzi na Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwateua vigogo wanne wa kisiasa kumsaidia katika eneo la siasa na uhusiano wa Jamii umetafsiriwa ni "Kuimarisha safu kuelekea michakato ya...
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba leo Bungeni Dodoma amewasilisha Bungeni taarifa ya Hali ya Uchumi wa Kitaifa kwa Mwaka 2022 na Mpango wa Maendeleo ya Taifa wa Mwaka 2023/2024...
Wao wamefunzwa namna ya kusimamia bandari, hiyo knowledge yao imeshindikana kuihamisha kwa watanzania nasi tuweze kusimamia bandari yetu?
Waletwe hapa wakae hata miaka miwili na kisha waondoke...
Serikali inasoma baieti vake ya mwaka wa fedha 2023/2024 leo. Bajeti hivo ni ya majumuisho itaonyesha makadirio ya jumla ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha ujao.
Majumuisho yanatokana...
Unamwaminije mtu ambaye haamini anasimamia nini, mambo mawili tu yananifanya nione kama Hana uhalali wa kuongea ni huyu aliwaita CCM mafisadi waovu wasiofaa lakini alitoka Chadema akajiunga nao...
Picha: Kushoto ni Freeman Mbowe, Kulia ni Amosi Makalla
Katika hatua ya kuonesha kujipendekeza kulikopitiliza, RC Amos Makalla amesema:
"Rais Samia Kuna watu eti wanakukosoa kwa maboresho ya...
Mama wa Taifa Samia, mambo mengine ni ya kuziba sikio maadamu unajua ni wapi unataka twende.
Mzee wako Mwinyi alipotutoa katika kongwa la uchumi wa chungu kimoja akatuletea uchumi huria tulipiga...
Tunaoishi sasa tunaamini tuna akili kubwa na maarifa mengi kuliko walioishi kale, jambo ambalo siyo kweli.
Naamini watu wa kale walikuwa na akili kuliko tunaoishi leo. Kwenye maarifa, kwa sababu...
Taasisi za kupima Afya ya Uchumi Duniani zinazidi zinazidi kuwa na Imani na Uchumi wa Tanzania..
Mwezi April Moody's Rating walitoa Alama B2 Kwa uchumi wa Tanzania kuashiria uchumi uko kwenye...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM anayesimamia Itikadi na Uenezi wa Chama hicho Ndugu Sophia Edward Mjema amesema Serikali ya Tanzania inayoongozwa na CCM imefanya makubwa sana na kwamba maendeleo...
Nimesikitika sana kusikia waarabu wa Dubai kuuziwa bandari pekee badala ya kuuziwa nchi nzima ya Tanzania. Huku ni kujinyima na kujirudisha nyuma sana.
Madalali wa taifa la Tanzania (Serikali la...
Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Morogoro Dr. Rajab Rutengwe amesema kuwa ujumbe aliotoa alipokuwa akikabidhi ofisi hivi karibuni aliyeuelwa ni yeye na rais Magufuli pekee.
Dr. Rutengwe anakiri kuwa...
Tuache siasa za kujipendekeza kwa mataifa mengine, na kuwatesa wananchi wanyonge.
Serikali izuie uuzaji wa mazao ya chakula nje ya nchi. Hali inazidi kuwa mbaya.
Mikoa iliyopo mpakani mazao...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua Meli Mpya ya hapa kazi tu katika Bandari ya mkoani wa Mwanza leo tarehe 14 Juni, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
MAANA YA MBIO ZA MWENGE
za Mwenge nchini Tanzania ni tamasha na sherehe za kila mwaka zinazofanyika kuanzia mwezi Aprili hadi Oktoba. Mbio hizo zina lengo la kuadhimisha na kuenzi uhuru wa...
MPANGO WA IBRAHIM LIPUMBA NA SEIF ALI IDDI KUTEKA OFISI YA MAKAO MAKUU YA CUF MTENDENI ZANZIBAR
Profesa Ibrahim Lipumba sasa anavuka mipaka ya utu na uislam. Kama yalivyokwisha enea, kwamba...
Kamishna wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC)
Bwana Omar Ramadhan Mapuri aliyelazwa Hospitali ya Rufaa Muhimbili Jijini Dar es salaam aliyelazwa hospitalini baada ya kudhoofika kwa afya yake...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema hawatashiriki kwenye Chaguzi Ndogo za Madiwani katika kata 14 zilizotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzii hii leo Jumatano Juni 14, 2023.
Tatizo siyo DP World, tatizo ni kumbukumbu zetu. Sababu zinazotolewa ni zilezile na serikali inayotoa ni ya Chama kilekile;
NBC
TANESCO
ATC
TRC
-NUDA
Mwisho wa siku tukajikuta tunarudisha...