Mkuu wa Mkoa wa Kigoma CGF (Mst.) Thobias Andengenye amekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni zikionesha Watu ambao wanatajwa kuwa ni Wafanyakazi wa ajira mpya za Serikali wakiwa wamechafuka...
Kesho Baraza la Wazee CHADEMA watakutana na waandishi wa habari mchana.
Taarifa za uhakika ni kuwa Lissu amefanikiwa kumshawishi Mbowe kuachana na Maridhiano. Hii ni baada ya msimamo wa Mbowe...
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ametoa onyo kwa Wafamasia wanaotoa dawa kwa Wagonjwa wasiokuwa na vyeti vyenye maelekezo ya Madaktari ambao walipaswa kuwa na vyeti hivyo, kuacha kufanya hivyo ili...
Mungu anaweza kutumia chochote kuleta ujumbe, Vitabu vinatuambia Mungu alitumia hata punda kunena pale mwanadamu aliposhupaza shingo asisikie kile Mungu alitaka wasikie.
Utoto, ujana, muchknow...
Sina uhakika, lakini kama ni kweli kabisa Waziri Mwigullu Nchemba hajaweka Bajeti ya Katiba mpya basi anastahili kupongezwa.
2014 hela zimeliwa na Katiba Pendekezwa imefungiwa kabatini.
Halafu...
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amekutana na kufanya kikao cha pamoja na ujumbe kutoka Chama cha Mapinduzi (CCM) ambapo wamejadili namna bora ya kuboresha...
Habari zenu wanaJF wenzangu,
Leo naomba nije na mada inayohusu "maadui mamboleo" wa taifa letu, tukiachana na wale watatu wa zamani waliokuwa wakijulikana kwa majina ya (1) maradhi, (2) uvivu...
HOTUBA YA WAZIRI KIVULI WA KATIBA NA SHERIA-ACT WAZALENDO NDG. VICTOR KWEKA KUHUSU MPANGO WA BAJETI WA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA KWA MWAKA WA FEDHA 2023/24.
Utangulizi.
Jana tarehe 25 April 2023...
Nilikua namsikilizambowe anasema mkataba hauna ukomo.
Anasema yupo tayari kuamsha nchi nzima Kama bunge litapitisha
Leo nimeona ameongea kwa hisia sana.
---
"Watu wengine wanasema mkataba ni wa...
Fuatilia video hii hadi mwisho.
Maswali muhimu;
Nini kipo nyuma ya hii IGA?
Iweje bunge lilikuwa haliataki maoni kinzani ya kuupinga mkataba huu?
Ni ajabu Spika Tulia na Naibu wake Zungu...
Rais Samia Suluhu Hassan ametajwa kuwa namba moja (1) miongoni mwa Wanawake watatu wenye Nguvu kubwa barani Afrika. [emoji1241][emoji2971][emoji1377]
Wengine ni
2. Mo Abudu
3. Dkt. Ngozi Ikeje Ewala
Jana Waziri Msomi, Mchumi daraja la Kwanza, Mheshimiwa Mwigulu Lameck Madelu Nchemba, alisoma bajeti nzuri ya viwango Tangu Tanganyika ipate Uhuru 1961.
Miongoni mwa Mambo muhimu aliyoongelea Kwa...
Mpaka sasa sielewi wataalamu wa fedha kama kweli wanatumika kusaidia serikali kupata vyanzo bora vya kodi vyenye sifa ya kuitwa kodi.
1. Je, jukumu la kulipa fedha kwa ajili ya mazingira ni la...
Mwigulu Nchemba, Waziri wa Fedha na Mipango wakati anawasilisha Bajeti ya 2023/2024 amesema kutokana na ukuaji wa teknolojia, biashara nyingi zinafanyika mtandani na hivyo matangazo yanayofanywa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha viongozi wateule Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo 16 Juni, 2023.
Viongozi watakaoapishwa ni:
Dkt. Moses Mpogole...
Kwako Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohamed Mchengerwa (Mb),
Hatua za haraka zinahitajika Hifadhi ya Taifa ya Nyerere/Selous. Mgogoro mkubwa unaanza kuibuka kati ya waendesha utalii (tour...
MFAHAMU MHE. HALIMA DENDEGO (RC-MTWARA).
Mhe. Halima Dendego kwa sasa ni mkuu wa mkoa wa Mtwara. Safari yake ya uongozi na harakati za kutetea haki za wananchi na raia wa Tanzania, zilianza tangu...
Je, CHADEMA ni CCM B?
Hili ni swali nimejiuliza kwa siku kadhaa baada ya kutokea tukio la udhalilishaji huko Mara. Tukio lenyewe ni kada wa CHADEMA aitwaye Chacha Heche kumshurutisha kwa maneno...
Watanzania,
Bunge letu,
Bandari ni zaidi ya tunavyofikiria.
Usidhani kwamba ni kupokea containers za mizigo ya kawaida tu.
Yapo mambo mengi mno ya kijasusi ambayo hatujayafanyia upembuzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.