Balozi Seif Ali Iddi amjulia hali Ramadhan Mapuri, Serikali yakanusha Kifo chake

Balozi Seif Ali Iddi amjulia hali Ramadhan Mapuri, Serikali yakanusha Kifo chake

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,038
Reaction score
64,145
Kamishna wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC)
Bwana Omar Ramadhan Mapuri aliyelazwa Hospitali ya Rufaa Muhimbili Jijini Dar es salaam aliyelazwa hospitalini baada ya kudhoofika kwa afya yake. Mwenyeenzi Mungu arejeshee afya yake.

Ameen
FB_IMG_1479025963331.jpeg


Wakati huo huo, Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar imekanusha habari zilizosambazwa kwenye mitandao ya Kijamii Kwamba Ramadhan Mapuri amefariki Dunia. Habari za kufariki sio za kweli. Balozi Mapuri alikuwa amelazwa katika Hospital ya Muhimbili, ameruhusiwa kurudi nyumbani baada ya afya yake kuimarika,
288dd318-a9a9-425c-bd8f-ea153a775cd0.jpg
 
Mnatuchanganya sasa! Mbona kulikuwa na taarifa zingine humu muda mfupi uliopita? Jamani tusifanye mchezo na afya za wenzetu.
 
Si tunaambiwa ame go shore?
Au ni achieves??
 
Hivi mtu huwa anafikiri nini kabla ya kumzushia mwingine kifo?
 
Jamani mbona hivyo?
Naona kama wengi wanahitaji matibabu,au macho yangu?
 
Mods mmeshindwa kazi mnasababisha unnecessary confusion hapa
 
Mwana JF Aliyeko dar aende muhimbili alete jibu la kweli
 
Kuna taarifa zinazotembea Kwenye magroup ya whatsap kwamba hatunae!

Watanzania tuombeane uzima!
 
Back
Top Bottom