Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa mtazamo wangu ghafi, Hawa mabwana wangepewa bandari zilizopooza na kufakufa wazifufue zishindane na bandari yetu mama ya DSM. Sisi tungewawekea tu miundombinu kuhakikisha wanatekeleza wajibu...
1 Reactions
5 Replies
512 Views
Dunia inabadilika sana, wanasiasa, wachumi na watu wa mipango wetu wasije kuja kutoa visingizio kuwa hawakujua kuwa itakuwa hivi. Mabadiliko ya uchumi na mpangilio wa uchumi wa dunia inaonekana...
21 Reactions
81 Replies
5K Views
Ama kwa hakika hali ni tete, pamoja na kuchukuliwa poa , wananchi wa Tanzania ni kama wameanza kuamka kutoka kwenye usingizi wa pono. Pamoja na yote yanayoendelea Bungeni kuhusiana na Bajeti ya...
23 Reactions
68 Replies
6K Views
Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Bajeti 2023/2024 ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Dkt. Saada Mkuya Salum. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango. Saa 09:00 Mchana. Tarehe 15...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Pesa ambayo Mama Samia meipeleka kwa wananchi tangu aingie madarakani ni pesa nyingi Sana. Amejenga madarasa, vituo vya afya, ameanzisha utaratibu Wa kupeleka mil 500 kila jimbo kwa ajili ya...
6 Reactions
34 Replies
2K Views
Ndugu zangu watanzania, Maneno machache ya Rais wetu shupavu, madhubuti,mchapa kazi,Hodari,mzalendo,Jasiri na imara mh mama Samia suluhu Hassani yamewagusa mamilioni ya watanzania.kazungumza kwa...
16 Reactions
175 Replies
11K Views
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba leo June 15,2023 amewasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 Bungeni Jijini Dodoma ambapo moja ya mambo aliyoyapendekeza...
0 Reactions
1 Replies
869 Views
Balozi Ally Karume, mwanaccm aliyeshiriki Makandokando yote ya kuhujumu chaguzi za Zanzibar ili kuibeba CCM, na ambaye hivi karibuni ameamua kutubu na kumrejea Muumba wake kwa kusema ukweli mtupu...
9 Reactions
52 Replies
6K Views
Unakaa na kutumia elimu ya PhD kuweka Kodi kwenye matangazo ya akina Juma Lokole! Mtu anapost kutangaza Shanga na Chupi halafu eti naye unamfikiria kama Chanzo cha Mapato! Tumechoshwa na watu...
4 Reactions
4 Replies
2K Views
Rais Samia anesema atakamilisha miradi yote ya Sengerema kwa sababu kule ni ukweni kwa Shujaa Magufuli Rais Samia amesema amekuta miradi mingi ya Buchosa na Sengerema kwenye mafaili hivyo...
4 Reactions
46 Replies
5K Views
Naweka wimbo ambao Waziri wa Fedha Mwigulu Nchembe ameunukuu, "Mpeni Mama Maua yake." Wimbo huu ni wa Roma Mkatoliki, usikilizeni, lakini je, kwanini wabunge walilipuka kwa shangwe lote lile...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wana wema, Ni muda sasa sijamtia machoni wala kumsikia hata kumsoma magazetini isiyo kawaida yake. Namzungumzia Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Komredi Abdulhaman Kinana. Hata sakata la DP World...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Mkiona kelele hizi ni mwanzo tu, Tanzania mmeijenga wananchi kuwa waoga kuiogopa Serikali. Jueni tunapoelekea woga utatoweka na ndipo watadai keki yao ya Taifa inayoliwa na wachache. Kivumbi cha...
7 Reactions
20 Replies
2K Views
Tusifichane, Imebaki kuwa wale wale wenye chuki na Hayati JPM, tena ni wale wale ambao yeye aliwaita wakwamishaji wa maendeleo ya nchi, na aliwashughurikia kisawasawa Waliokuwa wakila pesa za...
16 Reactions
65 Replies
4K Views
Leo nimesikia kitu kilichonifurahisha sana kutoka wa waziri wa fedha wakati akiwasilisha bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka 2023/2024 nalo ni kuja na mpango wa kuanza kukusanya Kodi kwenye matangazo...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Kweli nimeamini watu wa kanda ya Ziwa hamjaribiwi na mkiamua lenu mmeamua, huu ni Mkutano wa Rais Samia Mwanza uliohudhuriwa na watu 50. Tena watu 50 hao wengi ni vijana wa UVCCM pamoja na wana...
24 Reactions
150 Replies
16K Views
Akihojiwa na vyomba vya Habari vya Kimataifa huko Ulaya kwenye ziara yake ya Kikazi , kuhusu Kuuzwa kwa Bandari za Tanzania kwa Waarabu wa Dubai, Freeman Mbowe ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema...
33 Reactions
234 Replies
16K Views
Hii barabara ina walalahoi wengi, Hii baabara inaenda baraza la mitihani Hii barabara inaweza kuunganisha Mbezi Ndumbwi na barabara ya Goba Hii barabara ina hudumia shule kubwa ya St Mary's Hii...
10 Reactions
25 Replies
3K Views
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, leo June 15, 2023 wakati akisoma bajeti kuu ya serikali amesema kuwa anapendekeza kufutwa kwa kodi kwenye kila line ya simu kulinaa na uwezo wa kuweka salio...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imewakaribisha wafanyabiashara na wawekezaji kutoka Serikali ya Urusi kuwekeza nchini kwa maslahi ya pande zote mbili na ustawi wa dunia kwa ujumla...
1 Reactions
6 Replies
776 Views
Back
Top Bottom