Desprospero

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
887
2,201
Makala vs Mbowe.jpg

Picha: Kushoto ni Freeman Mbowe, Kulia ni Amosi Makalla

Katika hatua ya kuonesha kujipendekeza kulikopitiliza, RC Amos Makalla amesema:

"Rais Samia Kuna watu eti wanakukosoa kwa maboresho ya Bandari zetu ilhali umefanya jambo hilo kwa uwazi Bungeni kama Azimio. Yeye Mbowe (Freeman) hasemi kama wameanza kupokea ruzuku tena kachukua Bilioni 2 na kusweka mfukoni kwake kimya kimya. Sasa nani muwazi kati Yako na yeye".

Makalla amesema hayo mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan katika tamasha la utamaduni Bulabo hapa Mwanza.

Chanzo: TBC1
 
Makala ameyasema hayo Mwanza ambako Rais Samia anashiriki Tamamasha la Bulabo kuwa, Mbowe alifanya siri kusema kuwa wameanza kupokea ruzuku wakati Rais Samia amepeleka Mkataba bungeni wazi kabisa kwa wabunge kujadili na kupitisha.

Makalla akaendelea kuwa wengine hata haya mambo madogo wanafanya siri, kama wakipewa nchi si hatari? Na kwamba Rais anatakiwa kutembea kifua mbele kwani wananchi wana imani sana na yeye.
 
Suala hapa kama ni kweli tangu lini fedha za umma zikatolewa kwa kificho?

Kama zilitolewa kificho basi hiyo ilikua rushwa na hakuna na sababu ya kusema hadharani.

Naona jinsi mnavyotaka kuhamisha goli watanzania tunazitaka bandari zetu. Kauzeni za unguja na Pemba kwa hao DP world sisi tuachieni bandari zetu.

Mbowe ni raia kama raia mwingine anayohaki yake ya kutoa maoni kama raia wengine shida yenu mkielezwa ukweli mnapanic na kuanza kunshambulia.
 
Katika hatua ya kuonesha kujipendekeza kulikopitiliza, RC Amos Makalla amesema...
Huyu anatakiwa kufunguliwa kesi binafsi. Hajui wenzake huwa wanajificha nyuma ya kinga kuwa ni wabunge na wanazungumza wakiwa Bungeni.

Anatakiwa atoe ushahidi wa hizo bilioni 2 alizobinafsisha Mbowe. Na Mbowe akimnyamazia tutahisi kuna ukweli katika hizi shutuma.

Amandla...
 
Mh.Amos Makalla yuko sahihi....


Mh.Amos Makala hajazusha.....

Watu wana "data" zake vyema tu....

Ukikaa kwenye NYUMA YA KIOO USIUTAKE UGOMVI WA MAWE

Bilioni 2.....ziko MFUKONI KWA MTU

Bilioni 2.....ziko MFUKONI KWA MTU

Erthyrocyte ndio maana haonekani....kwa msukumo wa bilioni 2 yale mashambulizi DHIDI ya mh.Nape mitandaoni yatakuwa "bambam"....

Jamaa wanataka waanzishe maandamano nchi nzima kwa sababu ya hao waarabu wa DP WORLD.....

#Bilioni2ZikoMfukoniMwaMwamba

JASIRI HAACHI ASILI

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Katika hatua ya kuonesha kujipendekeza kulikopitiliza, RC Amos Makalla amesema:

"Rais Samia Kuna watu eti wanakukosoa kwa maboresho ya Bandari zetu ilhali umefanya jambo hilo kwa uwazi Bungeni kama Azimio. Yeye Mbowe (Freeman) hasemi kama wameanza kupokea ruzuku tena kachukua Bilioni 2 na kusweka mfukoni kwake kimya kimya. Sasa nani muwazi kati Yako na yeye".

Makalla amesema hayo mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan katika tamasha la utamaduni Bulabo hapa Mwanza.

Chanzo: TBC1
Kumbe huyo mlevi mbwa hajui hata ruzuku ya vyama inalipwaje,anafikiri alipewa mkononi na Samia? Kwanza anamkosea heshima Rais kuwa anagawa hela ya serikali kinyemela. Ruzuku inalipwa kwenye account ya chama
 
Back
Top Bottom