Rais Samia akikagua meli mpya ya MV Mwanza (Hapa Kazi Tu) katika Bandari ya Mkoa wa Mwanza

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,812
11,989


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua Meli Mpya ya hapa kazi tu katika Bandari ya mkoani wa Mwanza leo tarehe 14 Juni, 2023.

Meli.jpg


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiteremka kutoka ndani ya Meli Mpya ya Abiria na Mizigo ya MV Mwanza inayoendelea kujengwa katika bandari ya Mwanza South Mkoani Mwanza mara baada ya kagua maendeleo ya Ujenzi wa Meli hiyo tarehe 14 Juni, 2023.

67c9cb3f-79af-4beb-a489-cfb429e4546e.jpg


87c7310c-9233-4e6f-a4bb-e4abcb6e9838.jpg


Meli Mpya ya Abiria na Mizigo ya MV Mwanza inayoendelea kujengwa katika bandari ya Mwanza South Mkoani Mwanza.

28f7e72a-0ca7-481b-a7c9-bfea9f3d66d2.jpg

Hoteli.jpg


Jengo la Hoteli itakayokuwa na hadhi ya Nyota tano ambayo inaendelea kujengwa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii NSSF Mkoani Mwanza.
 
Akina songolo wametajirika kabisa kupitia ujenzi wa hiyo meli.......yaani ni mwendo wa kuchota tu, limeli lenyewe bayaaa
 
Rais Samia Hassan amefanya ziara kwenye jiji la Mwanza na kufanya ukaguzi wa miradi mbalimbali ya kimkakati lakini alipoingia kukagua meli ya MV Mwanza hapa kazi tu alionyesha kuikubali na kushangazwa na ukubwa na uzuri wake.

Meli ya mpya ya MV Mwanza itakapokamilika itakuwa na uwezo wa kubeba zaidi ya abiria elfu moja na tani 400 za mizigo.

Ikumbukwe tangu kuzama kwa MV Victoria mwaka 1996 jiji la Mwanza lilibaki ukiwa bila mradi wowote wa maana mpaka alipoingia Hayati Magufuli na akanzisha miradi ya matrillioni ya pesa ndani ya jiji la Mwanza.


 
Rais Samia Hassan amefanya ziara kwenye jiji la Mwanza na kufanya ukaguzi wa miradi mbalimbali ya kimkakati lakini alipoingia kukagua meli ya MV Mwanza hapa kazi tu alionyesha kuikubali na kushangazwa na ukubwa na uzuri wake...
MV Victoria haijawahi kuzama acha kupotosha. Iliyozama ni MV Bukoba
 
Back
Top Bottom