CHADEMA yasema Haitashiriki kwenye Chaguzi Ndogo za Madiwani katika Kata 14 zilizotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,309
5,464
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema hawatashiriki kwenye Chaguzi Ndogo za Madiwani katika kata 14 zilizotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzii hii leo Jumatano Juni 14, 2023.

IMG_20230614_180320_477.jpg

IMG_20230614_180321_021.jpg
 
Hakuna chama cha upizani Tanzania..kuna makampuni..Lema katulia kwenye hili swala la bandari ni ishara ya kulamba asali...wapo kimaslahi manyanga'u hawa.
.
Mbowe kaenda kutoa mlio mbali..mnafiki tu..njooni uwanjani musimame jukwaani mpinge swala la bandari
 
Hakuna chama cha upizani Tanzania..kuna makampuni..Lema katulia kwenye hili swala la bandari ni ishara ya kulamba asali...wapo kimaslahi manyanga'u hawa.
.
Mbowe kaenda kutoa mlio mbali..mnafiki tu..njooni uwanjani musimame jukwaani mpinge swala la bandari
Mkuu,kitendo cha serikali kuitisha uchaguzi ambao utasimamiwa na kuamuliwa na watu ambao mahakama mbili tayari zimewataja kuwa batili ni kigezo tosha cha kuufanya uchaguzi wenyewe kuwa batili, na kushiriki uchaguzi huo ni kitendo cha kuunga mkono ubatili,mbona rahisi tu?
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema, hawatashiriki kwenye chaguzi ndogo za madiwani katika kata 14 zilizotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzii hii leo Jumatano Juni 14, 2023.
View attachment 2657416
View attachment 2657418
Hawa jamaa wana msimamo aisee
Hii inaonesha kuwa lengo lao ni Tanzania iliyo maridhawa kwa watu wote.

Sisi huku CCM tunachoangalia ni KUSHIKA DOLA kwa mbinu yeyote hata kama ya kuchomoa roho chache
 
Hakuna chama cha upizani Tanzania..kuna makampuni..Lema katulia kwenye hili swala la bandari ni ishara ya kulamba asali...wapo kimaslahi manyanga'u hawa.
.
Mbowe kaenda kutoa mlio mbali..mnafiki tu..njooni uwanjani musimame jukwaani mpinge swala la bandari
Kale asali na wewe kama unadhani rahisi
 
Mbowe na Lisu wamelamba billion 2.9 za ruzuku kimyakimya alafu wanawazuia wenzao fursa ya kugombea?

Ni nyumbu tu atakayekubali huu ubinafsi.
magufuli lilikuwa jambaz la kura na pesa za umma saiv mamayenu amepokea share kwenye uuzwaji wa milele wa bandari huku chongolo akizuga kwa ziara fake ili kula mabillion ya ruzuku ila mazumbukuku ya sukuma gang yanaamini mbowe amelamba billion 2.9.
 
Masharti ya Mahakama ya Afrika ambayo Tanzania inatakiwa kuyatekeleza kwa vitendo ni :

Serikali yapewa agizo na Mahakama ya Afrika kuitundika hukumu hii ya kihistoria katika tovuti, mitandao, ofisi za umma za sheria kote Tanzania ili raia waisome hukumu hii

the Court deemed it proper to make an order suo motu for publication of this Judgment.

The Court, therefore, ordered the Respondent State to publish this Judgment within a period of three (3) months from the date of notification, on the
websites of the Judiciary and the Ministry for Constitutional and Legal Affairs, and to ensure that the text of the Judgment remains accessible for at least one (1) year after the date of
publication.

On implementation of decisions, the Court reiterated that this is required as a matter of judicial
practice. The Court, therefore, ordered the Respondent State to submit to it within twelve (12)
months from the date of notification of this Judgment, a report on the status of implementation
of the decision set forth herein and thereafter, every six (6) months until the Court considered
that there has been full implementation thereof.
 
Back
Top Bottom