Nchi hii imewahi kuwa na mikataba mingi mibaya, lakini hakujawahi kuwa na mkataba mbaya, wa hovyo na wa kibaradhuli kama huu wa Bandari.
Mikataba mingine, japo ilikuwa mibaya, lakini angalao...
MKUU wa Mkoa wa Tabora, Batilda Burian, ametoa siku saba kwa kampuni ya ununuzi wa tumbaku mkoani humo ya Voedsel kuhakikisha inawalipa wakulima wa zao hilo deni la Sh. bilioni 20.
Amesema endapo...
Ni Kweli Bandari ni jambo la Muungano lakini TPA hawajajenga Bandari Zanzibar
Bandari za Zanzibar ni za SMZ kwa niaba ya Wananchi wa Zanzibar hivyo Wana hiyari ya kumtafuta mwekezaji wanayemtaka...
Mdau wa Jamii Forums amelalamika kuwa kuna kero huku Madale, Barabara ya Wazo Madale tangu iwekwe lami haifanyiwi usafi kiasi cha mchanga na udongo kujaa na kufunika sehemu kubwa ya Barabara, hali...
Ndio sababu huwa namchukulia Freeman Mbowe kwa umakini mkubwa.
Wanasiasa Wengi wa Tanzania ni wa kubebwa bebwa lakini Historia inaonesha Vijana wa Nyerere hujibeba wenyewe.
Nimewaona UVCCM...
Viongozi sita wakiwemo Mashekh wawili wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Wilaya za Meatu na Bariadi mkoani Simiyu, wanadaiwa kusimamishwa uongozi wao kwa muda usiojulikana kutokana na...
Uteuzi uliofanywa juzi na Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwateua vigogo wanne wa kisiasa kumsaidia katika eneo la siasa na uhusiano wa Jamii umetafsiriwa ni "Kuimarisha safu kuelekea michakato ya...
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba leo Bungeni Dodoma amewasilisha Bungeni taarifa ya Hali ya Uchumi wa Kitaifa kwa Mwaka 2022 na Mpango wa Maendeleo ya Taifa wa Mwaka 2023/2024...
Wao wamefunzwa namna ya kusimamia bandari, hiyo knowledge yao imeshindikana kuihamisha kwa watanzania nasi tuweze kusimamia bandari yetu?
Waletwe hapa wakae hata miaka miwili na kisha waondoke...
Serikali inasoma baieti vake ya mwaka wa fedha 2023/2024 leo. Bajeti hivo ni ya majumuisho itaonyesha makadirio ya jumla ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha ujao.
Majumuisho yanatokana...
Unamwaminije mtu ambaye haamini anasimamia nini, mambo mawili tu yananifanya nione kama Hana uhalali wa kuongea ni huyu aliwaita CCM mafisadi waovu wasiofaa lakini alitoka Chadema akajiunga nao...
Picha: Kushoto ni Freeman Mbowe, Kulia ni Amosi Makalla
Katika hatua ya kuonesha kujipendekeza kulikopitiliza, RC Amos Makalla amesema:
"Rais Samia Kuna watu eti wanakukosoa kwa maboresho ya...
Mama wa Taifa Samia, mambo mengine ni ya kuziba sikio maadamu unajua ni wapi unataka twende.
Mzee wako Mwinyi alipotutoa katika kongwa la uchumi wa chungu kimoja akatuletea uchumi huria tulipiga...
Tunaoishi sasa tunaamini tuna akili kubwa na maarifa mengi kuliko walioishi kale, jambo ambalo siyo kweli.
Naamini watu wa kale walikuwa na akili kuliko tunaoishi leo. Kwenye maarifa, kwa sababu...
Taasisi za kupima Afya ya Uchumi Duniani zinazidi zinazidi kuwa na Imani na Uchumi wa Tanzania..
Mwezi April Moody's Rating walitoa Alama B2 Kwa uchumi wa Tanzania kuashiria uchumi uko kwenye...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM anayesimamia Itikadi na Uenezi wa Chama hicho Ndugu Sophia Edward Mjema amesema Serikali ya Tanzania inayoongozwa na CCM imefanya makubwa sana na kwamba maendeleo...
Nimesikitika sana kusikia waarabu wa Dubai kuuziwa bandari pekee badala ya kuuziwa nchi nzima ya Tanzania. Huku ni kujinyima na kujirudisha nyuma sana.
Madalali wa taifa la Tanzania (Serikali la...
Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Morogoro Dr. Rajab Rutengwe amesema kuwa ujumbe aliotoa alipokuwa akikabidhi ofisi hivi karibuni aliyeuelwa ni yeye na rais Magufuli pekee.
Dr. Rutengwe anakiri kuwa...
Tuache siasa za kujipendekeza kwa mataifa mengine, na kuwatesa wananchi wanyonge.
Serikali izuie uuzaji wa mazao ya chakula nje ya nchi. Hali inazidi kuwa mbaya.
Mikoa iliyopo mpakani mazao...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua Meli Mpya ya hapa kazi tu katika Bandari ya mkoani wa Mwanza leo tarehe 14 Juni, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...