Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 2,813
- 11,991
Mdau wa Jamii Forums amelalamika kuwa kuna kero huku Madale, Barabara ya Wazo Madale tangu iwekwe lami haifanyiwi usafi kiasi cha mchanga na udongo kujaa na kufunika sehemu kubwa ya Barabara, hali hiyo inasababisha utelezi hasa wakati wa mvua.
Viongozi wa Serikali za Mtaani kama wamelala hawafuatilii hali inavyozidi kuwa mbaya, hawa wakiambiwa hakuna wanachofuatilia.
Viongozi wa Serikali za Mtaani kama wamelala hawafuatilii hali inavyozidi kuwa mbaya, hawa wakiambiwa hakuna wanachofuatilia.