"....watu wanapiga kelele tu huku hawaelewi lolote ukweli ni kwamba hata reli yetu hii mpya ukiona imefunguliwa hadi Dodoma amini haitopita miezi hata miwili watapewa Etihad."
"....moja ya...
Wakati tulipoishauri serikali kuzuia uuzwaji wa nafaka nje ya nchi tulionekana kama tunachekesha hivi. Leo hii tunatumia mchele kutoka nje ya nchi ambao hata uupike kwa saa kadhaa hauivi! (Unabaki...
Ni Ansbert Ngurumo akichambua hatua kwa hatua kilicho nyuma ya mkataba wa uuzwaji/ukodishaji/ubinafsishaji wa bandari za Tanganyika ukiziacha za Zanzibar huku suala la bandari likiwa ni la...
Ni kama vile kuna vita baridi ya kugombea Afrika kati ya Marekani (pamoja na mataifa mengine ya magharibi) dhidi ya China. Kila mmoja anajitahidi kuongeza ushawishi wake barani Afrika kupitia vitu...
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba leo June 15,2023 amewasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 Bungeni Jijini Dodoma ambapo moja ya mambo aliyoyapendekeza...
Ni mapendekezo tu
Rais wa JMT akitoka Zanzibar Waziri mkuu awe Makamu wa kwanza wa Rais wa JMT na Rais wa Zanzibar awe Makamu wa Pili wa Rais wa JMT
Rais wa JMT akitoka Bara
basi Rais wa...
Watanzania wanajipinda na kulipa matozo na kuhenyeka lakini pesa zinalipa madeni na serikali ikiambiwa ipunguze kukopa haisikii!
Kwakweli bajeti ijayo hebu deni la Taifa liwe no 5, sitaki kuona...
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma CGF (Mst.) Thobias Andengenye amekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni zikionesha Watu ambao wanatajwa kuwa ni Wafanyakazi wa ajira mpya za Serikali wakiwa wamechafuka...
Kesho Baraza la Wazee CHADEMA watakutana na waandishi wa habari mchana.
Taarifa za uhakika ni kuwa Lissu amefanikiwa kumshawishi Mbowe kuachana na Maridhiano. Hii ni baada ya msimamo wa Mbowe...
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ametoa onyo kwa Wafamasia wanaotoa dawa kwa Wagonjwa wasiokuwa na vyeti vyenye maelekezo ya Madaktari ambao walipaswa kuwa na vyeti hivyo, kuacha kufanya hivyo ili...
Mungu anaweza kutumia chochote kuleta ujumbe, Vitabu vinatuambia Mungu alitumia hata punda kunena pale mwanadamu aliposhupaza shingo asisikie kile Mungu alitaka wasikie.
Utoto, ujana, muchknow...
Sina uhakika, lakini kama ni kweli kabisa Waziri Mwigullu Nchemba hajaweka Bajeti ya Katiba mpya basi anastahili kupongezwa.
2014 hela zimeliwa na Katiba Pendekezwa imefungiwa kabatini.
Halafu...
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amekutana na kufanya kikao cha pamoja na ujumbe kutoka Chama cha Mapinduzi (CCM) ambapo wamejadili namna bora ya kuboresha...
Habari zenu wanaJF wenzangu,
Leo naomba nije na mada inayohusu "maadui mamboleo" wa taifa letu, tukiachana na wale watatu wa zamani waliokuwa wakijulikana kwa majina ya (1) maradhi, (2) uvivu...
HOTUBA YA WAZIRI KIVULI WA KATIBA NA SHERIA-ACT WAZALENDO NDG. VICTOR KWEKA KUHUSU MPANGO WA BAJETI WA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA KWA MWAKA WA FEDHA 2023/24.
Utangulizi.
Jana tarehe 25 April 2023...
Nilikua namsikilizambowe anasema mkataba hauna ukomo.
Anasema yupo tayari kuamsha nchi nzima Kama bunge litapitisha
Leo nimeona ameongea kwa hisia sana.
---
"Watu wengine wanasema mkataba ni wa...
Fuatilia video hii hadi mwisho.
Maswali muhimu;
Nini kipo nyuma ya hii IGA?
Iweje bunge lilikuwa haliataki maoni kinzani ya kuupinga mkataba huu?
Ni ajabu Spika Tulia na Naibu wake Zungu...
Rais Samia Suluhu Hassan ametajwa kuwa namba moja (1) miongoni mwa Wanawake watatu wenye Nguvu kubwa barani Afrika. [emoji1241][emoji2971][emoji1377]
Wengine ni
2. Mo Abudu
3. Dkt. Ngozi Ikeje Ewala
Jana Waziri Msomi, Mchumi daraja la Kwanza, Mheshimiwa Mwigulu Lameck Madelu Nchemba, alisoma bajeti nzuri ya viwango Tangu Tanganyika ipate Uhuru 1961.
Miongoni mwa Mambo muhimu aliyoongelea Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.