Kizazi cha sasa hakijui Tanganyika ilifananaje zaidi ya kuisoma tu kwenye makaratasi
Unarejeshaje kitu usichokijua, hapo ndio kwenye tatizo
Mlale unono!
Ipo mikataba mibovu tuliyofanya tangu uhuru kwa matarajio ya tija kubwa kwa wananchi ambayo baafa ya muda mfupi mambo yakawa tofauti na hatuna cha kufanya,
1. TAZARA
Pamoja na umuhimu wake katika...
Nikitazama utendaji kazi na mipango ya SSH naona napata mawenge πππ ni kama anakuja kisha anakataa, kama anafunga kisha anapaisha, kama anatoa pasi ila ghafla unamuona kwenye kibendera...
Hii ni habari njema Kwa Wananchi wanyonge wa Tanzania. Baada ya pato la Kila mwananchi kuongezeka serikali imekuja na bajeti inayoinua maisha ya watoto wa masikini.
Mfano mzuri unaoonyesha bajeti...
Spika mstaafu mh Job Ndugai amemweleza Katibu mkuu wa CCM Komredi Chongollo kwamba Kongwa ndipo waliishi Walihamia Uhuru wa Afrika na baadae wakaenda Mazimbu.
Ndugai amesema wapigania Uhuru...
Kushindwa kwa mambo mengi chanzo kikuu ambacho huwa hakisemwi, ni Serikali.
Serikali ndiye alitetengeneza muundo wa hayo mashirika, na ukiuangalia muundo wenyewe siyo wa kutengeneza faida bali wa...
Nimefurahi sana kusikia NEMC wameanza kuwashughulikia wapiga kelele wanaosababisha zogo mtaani na kuwafanya raia wengine wakose raha na utulivu. Kipekee kabisa naomba NEMC wamulike zaidi makanisa...
MBUNGE TAUHIDA NYIMBO - TUFIKIE WAKATI MTU KUTOKA BARA AENDE KUWA RAIS ZANZIBAR
"Ufike wakati tutamani kuona mtu kutoka bara na kwenda kuwa Rais wa Zanzibar tuipelekeni Tanzania huko itikadi za...
Nawasalimu JF!
Ninamfananisha Mbowe wa CHADEMA na Nyerere wa TANU/CCM
Mbowe na Nyerere: Hawakuanzisha vyama walivyoviongoza kwa mafanikio
Mbowe na Nyerere: Wamekuwa na maamuzi ya mwisho juu ya...
Mkutano wa chadema Tunduma umeingia doa baada ya wananchi wengi kugoma kuhudhuria. Nipo hapa Tunduma watu Ni wachache sana, nimebahatika kuzungumza na wananchi wanasema wapo busy na maisha.
Hii...
Leo Rais wa Zanzibar ametembelea maduka ya wauzaji wa nafaka pemba na kuona bei ya vyakula havipandi na kuwa mzigo kwa mlaji
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imepiga marufuku uuzaji wa vyakula...
23/5/2018 aliyekuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu alitoa taarifa kwa vyombo vya habari juu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kipindi hicho Dkt John Pombe Magufuli kumteua Dkt. Geofrey...
Sugu aliahidiwa na viongozi wa CCM kuwa atapewa jimbo la Mbeya mjini kwa kuwa akiyekuwepo tulia ni Pro-Magufuli na hawa hawatakiwi bungeni 2025.
Unaweza ukaona hadi Rais, makamo wa CCM na wengine...
Leo ni michano
Kuna watanzania ni machiriku wa kuongea. Wanaongea bila hata kujua maana ya wanachokiongea.
Desemba 28 2021 Spika wa Bunge Ndugai alikosoa kasi ya ukopaji inayofanywa na serikali...
Wadau nawasabahi.
Ni wazi wenye akili zetu tunajua kuwa tanzania hakuna bunge bali kuna vikao vya ccm ndani ya bunge. Wabunge wa CCM hupitia mambo yote kabla hayajaingizwa bungeni huyajadili na...
Haya ya CCM kutumia $100 za EPA kwenye kampeni yamo kwenye Kitabu chake Hayati Benjamin Mkapa
Lakini kwa namna ya CCM unaweza kukuta hizo fedha hazikwenda kwenye kampeni ila waligawana Wahuni...
Spika Ndugai aliyelazimishwa kujiuzulu kwa kukosoa ufisadi wa serikali
Mapema kabisa alipoona Serikali ya Samia imepotea njia alikuja hadharani kuishauri Serkali iache kuingia mikataba ya kuuza...
Wanabodi,
Leo asubuhi hii waheshimiwa wabunge wetu, wataujadili mkataba wa IGA ( Intergovernmental Agreement), na baada ya hapo ndipo HGA ( Host Government Agreement) zitaingiwa kati ya TPA na DPW...
Tukiishawapa wageni kila kitu kutokana na kwamba sisi tumeshindwa kuviendesha licha ya utaalam tulio nao, bajeti tunazotengewa kila mwaka na pia soko la uhakika kuwepo, tutajikuta tumebaki bila...
Tangu suala la ushoga lianze kutikisa hapa nchini na kutua bungeni, umepita takribani mwezi mmoja sasa lakini cha ajabu bado hatujaletewa orodha ya wabunge wasenge waliobainika baada ya zoezi la...