Kukiri kwa hayati Mkapa kuwa alitumia $100 za EPA kwenye kampeni za CCM 2005 JK vs Mbowe ni ushahidi Freeman ni tishio kitambo sana!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,108
Haya ya CCM kutumia $100 za EPA kwenye kampeni yamo kwenye Kitabu chake Hayati Benjamin Mkapa

Lakini kwa namna ya CCM unaweza kukuta hizo fedha hazikwenda kwenye kampeni ila waligawana Wahuni wachache tu

Sabato Njema!
 
Hilo sio la kuuliza Mzee Mgaya..nadhani baadhi ya wapigaji ndio walikimbilia ughaibuni kama Mzee Kataraiya wa Bukoba..
Yaani CCM na WIZI ni kama pipa na mfuniko, mgonjwa na uji, ..

Kwa chama hiki CHAKAVU ni ngumu sana kupata MAENDELEO
 
Haya ya CCM kutumia $100 za EPA kwenye kampeni yamo kwenye Kitabu chake Hayati Benjamin Mkapa

Lakini kwa namna ya CCM unaweza kukuta hizo fedha hazikwenda kwenye kampeni ila waligawana Wahuni wachache tu

Sabato Njema!
Mh, ngoja haterz wa DJ waje wakiongozwa na mnafiki wao.. mtoa mada!!!
 
Haya ya CCM kutumia $100 za EPA kwenye kampeni yamo kwenye Kitabu chake Hayati Benjamin Mkapa

Lakini kwa namna ya CCM unaweza kukuta hizo fedha hazikwenda kwenye kampeni ila waligawana Wahuni wachache tu

Sabato Njema!
Sasa kama wana CCM walitumia fedha za umma kwenye kampeni hata hii ya mwenyekiti wa chama 'Bi. Tozo' kuuza bandari linawezekana
 
Haya ya CCM kutumia $100 za EPA kwenye kampeni yamo kwenye Kitabu chake Hayati Benjamin Mkapa

Lakini kwa namna ya CCM unaweza kukuta hizo fedha hazikwenda kwenye kampeni ila waligawana Wahuni wachache tu

Sabato Njema!
Hivi nitakipataje hicho KITABU???!!!
 
Back
Top Bottom