Profesa Mussa Assad ameonyesha masikitiko yake kuhusiana na wezi wa mali ya umma wanaochekewa.
Mussa Assad aliyewahi kuhudumu kwenye nafasi ya CAG kwa mafanikio , na baadaye kuondolewa kinyume...
Dodoma. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imezitimua kwenye kikao taasisi mbili zilizoko chini ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi baada ya maofisa masuhuli kushindwa kufika kwenye...
Kuna hili siko la mandizi MABIBO!
Linatia aibu. Je kweli mnakusanya ushauri? Na kama ndivyo zinaenda wapi?
Hata mseme kulikarabati mnashindwa Nini? Vyakula vinauzwa kwenye tope kweli solo kubwa...
Kumbe malipo ya Invoicing yalizuiwa pale Wizara ya Fedha chini ya Waziri Bingwa na Mzalendo Mwigulu Nchemba.
Invoice ilipofika Hazina, wakaona tofauti iliyopo kwenye mkataba wakawasilisha fraud...
Tarehe 19 Agosti 2022, Barua kutoka Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu
ilieleza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Mark James Mwandosya kuwa...
Uchaguzi ukiisha tuendelee na kazi. Mambo ya kujengeana bifu ni upuuzi mtupu. Wote ni walipa kodi na maendeleo hayana chama.
Wapo baadhi ya wabunge na madiwani baadhi ya maeneo yao haya maendeleo...
Nafasi anayogombea Mulamula ndio nafasi ambayo Membe aliomba na kuchinjiwa baharini na Mwendazake 🤪🤪.
Rais Samia hana kinyongo so ameamua kumbeba Balozi Mulamula..
---
RAIS Samia Suluhu Hassan...
Katika hali isiyo ya kawaida, mwalimu wa shule ya msingi Moshi Manispaa amewekwa lokapu kituo kikuu cha polisi Moshi na afisaelimu sekondari Moshi Manispaa, bila mwajiri wake ambaye ni Mkurugenzi...
Wakuu hongereni sana kwa Sherehe za Pasaka zinazoendelea , ambapo Wakristo kote Duniani wanasherehekea kufufuka kwa Bwana Yesu .
Baada ya Utangulizi huo Taarifa kabambe
inasambazwa kwa watu wote...
Wakuu,
Kila mwaka CAG anatoa ripoti zake na kuonyesha mambo yale yale na kilio kile kile.
Naomba mtambue kwamba wizi, ufisadi na ubadhirifu ni maamuzi ya nchi yetu hayo yawepo na kushamiri na...
Baada ya kusikiliza uchambuzi wa ripoti ya CAG uliofanywa na John Mnyika leo nimeamini kabisa hii taarifa ya kuhongwa milioni 65 ni ya kweli.
Kwenye uchambuzi wake John Mnyika hamna sehemu yoyote...
Rais Mwinyi amekuwa akipigiwa kelele sana kwamba ananyang'anya wananchi ardhi anawapa wageni kwa kisingizio Cha kukodisha. Baadhi wanasema, anachukua ardhi hiyo yeye mwenyewe kwa mlango wa...
Akizungumza na wandishi wa habari makao makuu ya Chama cha CHADEMA muda huu, Katibu Mkuu wa Cha CHADEMA John Mnyika amesema bado wanaendelea kupiga hesabu ya hasara zilizotajwa na CAG, ambapo hadi...
Leo ni kumbukizi ya kifo cha mzee karume aliyeuwawa tarehe kama ya leo huku mioyo ya wanatanzania ikiwa imejaa damu kutokana na wizi na ufisadi ndani ya mamlaka za serikali.
Happy Karume Day...
Watanzania wengi sana wapo magerezani kwa kesi za kusingiziwa.
Na wengi sana wapo vifungoni kwa makosa ya kusameheka kabisa.
Ukweli ni kwamba wengi ni maskini sana hawana watu wa kusimamia hata...
Nimeshangaa Brother Pole Pole kateuliwa juzi juzi kuwa balozi wa CUBA leo anazungumza KiCUBA.
Ameandika "Dios los bendiga a todos
Embajador tanzano designado en Cuba"
Mkuu wa mkoa tunga wimbo wa kutuita tuje tujadiri nini cha kufanya dhidi ya mkoa wetu.
Ni aibu sisi kusikia mkoa wetu upo miongoni mwa mikoa masikini.
Kuna umuhimu wa kutuita tunaaibika sana...
Mwandishi Wetu
RAIS Samia Suluhu Hassan amemwagiwa sifa na wananchi na viongozi mbalimbali ndani na nje ya nchi kwa kuchukua hatua za haraka na madhubuti kushughulikia uzembe na ubadhirifu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.