Salamu, huu ndio utabiri wangu kumhusu mama kabla ya 2030. Haya yote anayoyafanya ni calculated issues. Haya Mambo yanaenda kwa mpangilio ufuatao
1) 2025 Rais Samia atashinda
Mama atashinda...
Utangulizi:
Ni ukweli usiopingika kuwa kulingana na unyeti wa rasilimali bandari kwa taifa na ukizingatia kuwa ni lango kuu la uchumi, na maswala ya ulinzi na usalama. Na zaidi sana kuwa mchakato...
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema chama chake hakitajitoa kwenye Maridhiano na CCM licha ya Changamoto za hapa na pale zinazojitokeza
Mbowe Alikuwa anaongea na Diaspora huko Uingereza
===...
Namtazama waziri mkuu wa awamu ya tano jinsi alivyokuwa akichapa kazi. Jinsi alivyokuwa akisimamia utendaji wa serikali akiongea kwa mamlaka ya nafasi yake.
Nikimlinganisha na huyu wa awamu ya...
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 56, leo Juni 27, 2023.
===
UPDATE;
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Tulia Ackson amesitisha shughuli za...
Friends and Enemies,
Ngoma ambayo mwenyekiti wa kudumu wa chadema Freeman Mbowe aliianzisha wiki kadhaa zilizopita ndiyo kiini hasa Cha taharuki ya tunachokiona kinaendelea Kwa sasa.
Either...
Tunapoamka na kujadili suala Bandarini, jamani tunaomba mtuelewe hakuna anaepinga uwekezwaji bandarini, sote yaani wote tunaitaji uwekezwaji tunautaka ndio maana mtu kama Mimi sifi Leo na Mzee...
Chadema Huwa mnachekesha na kushangaza sana.
Unakuta mko busy Mjini kuhadaa bodaboda,kupiga picha za kile mnaita mafuriko na kutupia Twitter huku mkijifariji kwamba Mna watu na mnakubalika sana...
Hawa wenzetu Shabiby, Rostam na Dewji kwa uchungu sana wamekuwa wakiwapigia debe Waarabu kuuziwa nchi
Ikumbukwe hawa ni watanzania ila sioni kama Watanganyika
Je ni kweli ni wazalendo kuliko...
Katika utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), kuhusiana na mkataba wa makubaliano ya uendeshaji na uboreshaji wa bandari kati ya Tanzania na Dubai, imebainika kuwa kuwepo kwa...
Kumekuwa na dhana ya uongo na upotoshwaji mkubwa dhidi ya utendaji wa rais wetu Mama Samia Suluhu. Kumekuwa na maneno ya mara kwa mara, tena yakurudiwa rudiwa ya kusema wasaidizi wa karibu wa...
Wakati wa Magufuli ..siku moja alienda kutembelea Mali za chama akaenda kutembelea kituo maarufu cha TV cha Channel ten.
Ndo tukatangaziwa kuwa na chenyewe ni Mali ya Chama Cha Mapinduzi...
Rushwa! Ni msamiati unaofahamika sana Tanzania. Si matajiri wala maskini, wote wameathiriwa na Rushwa, kama wahanga au wanufaika.
Rushwa! Rushwa Tanzania! Kila Kona ni rushwa. Huenda hata kwenye...
Utangulizi:
Ukisoma katiba ya JMT ibara ya 59 (1) imeanzisha ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali, na ibara ndogo ya (3) ya ibara hiyo ya 59, inaeleza wajibu mkuu ni kuishauri serikali katika...
Magufuli alikuwa ni mtawala anayeogopwa sana. Ukiitwa ofisini kwake unapatwa na ubaridi yabisi hadi kwenye mifupa.
Watu wote tulimuogopa sana. Nchi nzima hakuna aliyeweza kumnyooshea kidole...
Hawa watu wakishakaa huko Ikulu wanaambizana hakuna mtu ana hati miliki ya hii nchi, ndiyo wanaona inawapa uhalali wa kuingia katika mikataba yoyote wanayotaka. Kwa maana kwamba hakuna mtu yeyote...
1. Majirani Kenya (KenTrade) wameboresha jinsi ya kupata huduma zao kidigitali (App) huku pia wakipambania kuuza Chai Sudan, Arabuni na China.
2. TANTRADE wanasubiri sare za vitenge na t-shirt...
Na Eleuteri Mangi, WUSM, Dar es Salaam
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Urusi nchini Mhe. Andrey Avetisyan ambapo...
Mchana wa leo Rostam amefanya mkutano na waandishi wa habari. Pamoja na mambo mengine ametoa tuhuma nzito kwa serikali na mahakama.
Amesema Dr. Slaa alinunuliwa wakati wa uchaguzi na kukisaliti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.